Mwenye update kuhusu nusu final ya kombe la muungano tafadhari

Mwenye update kuhusu nusu final ya kombe la muungano tafadhari

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,883
Reaction score
28,243
Wakuu kama mnavyojua Kuna kombe la kukata na shoka huko zenji Sasa update za nusu final naona bodi ya ligi hawatoi naomba kujua inafanyika lini kwa Azam vs KMK na Yanga vs Jku !?
 
Wanatushangaza kwa kweli si ni hapo kuvuka maji tu, taarifa zinakosekanaje sasa! je ingekuwa ni huko Ma south ingekuaje?
 
Mimi nikafikiri nyinyi Mabingwa watetezi wa hilo kombe, ndiyo mtakuwa mnajua kila kinachoendelea huko!
1000274937.jpg

Tunajiandaa kwenda kuwapokea mabingwa wa mapunduzi
 
Eti samaleko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🤣🤣 ila Magu alijua kutuvunja mbavu au nasema uongo ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom