kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kombe pekee watakalobeba Yanga ni hilo la IST Cup

    Nasikis paredi imeandaliwa kabisa baada ya kutwaa IST Cup. Wanayanga watatembea vifua mbereee kunadi hicho kikombe ambacho wakifanya mchezo hawanyanyui tena kwapa msimu huu. Yanga bana. Waliyakejeli mashindano ya Kombe la Muungano kisa yalikuwa na timu 4 tu, wao wameenda kukenua meno na...
  4. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

    Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000. Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa pamoja na Senegal, Uruguay, Denmark. Kwa Senegal ndio ilikua Mara yao ya kwanza kwenye world cup na...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Azam FC yajiondoa Kombe la Kagame

    Uongozi wa Azam FC umethibitisha rasmi kujiondoa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 ambayo inatarajiwa kuanza rasmi mnamo Julai 6 mpaka 22-2024 kwenye shindano litakalofanyika Tanzania Bara pamoja Zanzibar. Akizungumza kwenye mahojiano maalum na EATV,Meneja Habari na Mawasiliano...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Zambia 0-1 Tanzania | Kufuzu Kombe la Dunia | Levy Mwanawasa Stadium | 11/06/2024

    Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00: Mchezo umeanza 06: Tanzania 1-0 Zambia 10: Zambia 0-1 Tanzania 20: Zambia 0-1 Tanzania 30: Zambia...
  7. Emmp

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda

    Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe. Natanguliza shukrani Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kombe Muungano 2024/25 liwe kama MTN 8. Yaani team 8 za zanzibar na team 8 za bara

    Ni simple advice, Hii nimeiyona South africa. phone company imeweka hela kila msimu kuna MTN 8. Team 8 za juu zina compete for MTN Championship na jezi sponsors kabisa Note: Tigo, Vodacom, Airtel wanaweza chukua tigo 8, voda8, Airtel 8. wapige kampeni na jezi zao kabisa. Good day Thank you.
  10. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko kombe la Crdb FA

    Kuna mabadiliko nimeyaona ya muundo wa kombe la Crdb FA cup kutoka kwenye ule muonekano wa kwanza likiwa kombe la Azam Mabadiliko sio mabaya na kombe limependeza ila sio vizuri kuwa na muonekano tofauti Kila mara mdhamini mpya anapokuja hii inaharibu muendelezo wa muonekano kwa makombe kwenye...
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania England waki "line up" hivi wanaweza chukua kombe la EURO

    1: Pickford 2: Walker 4: Branthwaite 5: Stones 3: Shaw 6: Rice 8: Mainoo 10: Bellingham 7: Saka 11: Foden 9: Kane
  12. B

    JamiiForums Tanzania Manchester United mabingwa Kombe la FA 2024 baada ya kuifunga Man City 2-1

    Ni baada ya leo kuichapa ManCity 2-1 uwanja wa Wembley huku golikipa Onana akiwa man of the match. --- Manchester United imefanikiwa kubeba Ubingwa wa FA Cup 2024 kwa kuifunga Manchester City katika Fainali kwa magoli 2-1 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London Magoli ya Alejandro Garnacho na...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kombe wanakabidhiwa baada ya mechi kwa hiyo wamelichukua kabla hawajakabidhiwa? Au wameliiba?

    Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi? Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga kesho kufanya balaa kukabidhiwa kombe lao la 3 la NBCPL

    Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania. Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa...
  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanganyika itarudi? Tutaendelea kufunika kombe hadi lini?

    Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"! Wazee wetu walioushuhudia muungano Kila kukicha wanatangulia na wao wameona Kuna tatizo kuu la huo muungano wenyewe kwetu Sasa na...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kumbe kombe lao

    INAONEKANA HII MICHEZO YA KUNYAKUA JUMLA YANGA INAIMUDU SANAA 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗘 𝗝𝗨𝗠𝗟𝗔 Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu. ✨ Yanga SC watakabidhiwa kombe hili JUMLA JUMLA na kuliweka kabatini. Wadhamini wakuu (NBC) na bodi ya ligi watachongesha kombe lingine la namna hii baada ya klabu hiyo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arsenal wafanya zoezi la kuvishwa medali za ubingwa, Waandaa Jukwaa na kombe feki

    Kwamba iwapo watatwaa ubingwa leo wasiwe washamba wa shughuli hiyo
  19. vvvv

    JamiiForums Tanzania Je Coastal Union akishika nafasi ya nne ataenda kombe la shirikisho?

    Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa? Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club bingwa au shirikisho? Na je Yanga kama bingwa wa ligi kuu na akawa wa bingwa wa shirikisho...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Muungano, napendekeza kufutwa kwa kombe la Mapinduzi tubakize kombe la Muungano peke yake ambalo kilele chake kitakuwa siku ya Muungano

    Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
Back
Top Bottom