Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
Habari za uhakika
Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani
Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege
KWA KAZI nzuri waliyofanya
Naomba...
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili
1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar
2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan
3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya...
Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa
1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania.
2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi
3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa...
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.
Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri.
✓fainali mbili
✓mashindano ya afrika kufanyika hapa
✓viwanja kujengwa na...
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa
Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili mechi ipelekwe zanzibar kumfurahisha mama .
Kwa kilichotokea nasema hivi simba nendeni mkakamilishe...
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa...
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa taji hilo la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Manchester City.
Ushindi huu...
Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha.
Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..
Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options...
Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili.
Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Leo ndio leo
Baada ya kuona kimya nikaona isiwe vibaya nianzishe
Leo mechi itakuwa uwanja wa bwawani sijui gombani
Kati ya timu tishio duniani ya dae es Salaam young afrika aka nyuma mwiko na timu tishio ukatanda wa afrika mashariki ya pwani na visiwani kote Jku
Mechi itakuwa ngumu sana hasa...
Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi!
Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti kocha hajawai kuwa kocha mkuu, ataiwezaje Simba! Niliwahi waambia watu kuwa ubuyu ulianza Kama mchicha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.