GUINEA yadai kombe baada ya Morocco kujiondoa uwanjani 1976

GUINEA yadai kombe baada ya Morocco kujiondoa uwanjani 1976

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,398
Reaction score
5,001
GUINEA YADAI KOMBE BAADA YA MOROC
IMG_8958.jpeg
CO KUJIONDOA UWANJANI 1976

Shirikisho la Soka la Guinea limeitaka CAF kuhakiki Kombe la Mataifa ya Afrika la 1976, likidai kuwa taji hilo linafaa kutolewa kwa Guinea kufuatia Morocco kujiondoa wakati wa mechi .

Mnamo 1976, Guinea ilikuwa inaongoza Morocco 1-0 kupitia kwa Chérif Souleymane, kabla ya wachezaji wa Morocco kutoka uwanjani mfupi kupinga uamuzi wa Mwamuzi.

Baadae Morocco ilirudi uwanjani na Ahmed Makrouh alisawazisha katika dakika ya 86, na mchezo kumalizika ikiwa ni 1-1.

Morocco waliongoza kundi hilo wakiwa na pointi tano na kutwaa ubingwa, huku Guinea wakimaliza nafasi ya pili.

Guinea inasema kuvuliwa taji kwa Senegal la AFCON 2025 hivi karibuni na kuipendelea Morocco ni mfano wa

Guinea ikisema tukio hilo linafaa kutathminiwa tena kwa kutumia kanuni zilizotumika katika uamuzi wa 2025.
 
Ni Rushwa

A Nine-Member Panel at the Center of Controversial Ruling of the AFCON Trophy in Favour of Morocco.

The verdict was issued by a nine-member Appeal Board drawn from across the continent, in line with CAF’s judicial framework.

They include;
1. Roli Daibo Harriman (Nigerian High Court Judge): Board President.

2. Faustino Varela Monteiro (Cabo Verde): Vice-president.

3. Moez Ben Tahar Nasri (Tunisia): Member.

4. Espoir Asogbavi Komlan (Togo): Member.

5. Masauko Timothy Msungama (Malawi): Member.

6. Moses Ikanqa (Namibia): Member.

7. Hamoud T’feil Bowbe (Mauritania): Member.

8. Mohamed Robleh Djama (Djibouti): Member.

9. Lubamba Ngimbi Hector (DR Congo): Member.

The decision is not expected to be the final word on the matter. Senegal is widely anticipated to escalate the case to the Court of Arbitration for Sport (CAS), setting the stage for a high-profile legal dispute.

Who do you think will win this case when it gets to CAS? SENEGAL OR MOROCCO?
 
nasisi bongo land tugomee tuombe penati yetu kuna mchezaji alidondoshwa ndani ya penalty area refa akapeta.. Morocco kusema kweli ilibebwa mpaka kufika pale caf nao ndio wanaharibu kabisa..😅
 
Back
Top Bottom