kombe la dunia 2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio zilikuwa mbwembwe za kusindikiza basi la Uturuki kwenda world cup, leo wametoka mapema na hawajafunga hata sumni

  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tumuweke kwenye maombi yetu Ismaël Koné, avunjika Mguu kwa Rafu Mbaya

    Kiungo wa Canada, Ismaël Koné, amepata jeraha kubwa la kuvunjika mguu kufuatia rafu mbaya aliyofanyiwa na mchezaji wa Qatar, Assim Madibo. Baada ya tukio hilo, Madibo alionyeshwa kadi nyekundu huku Koné akitolewa uwanjani kwa machela, katika mchezo huo ambao Canada iliibuka na ushindi mabao 6-0...
  3. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Harry Kane ampiku Ronaldo idadi ya magoli Kombe la Dunia

    Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥 Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥 Captain Kane...
  4. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Ronaldo aweka rekodi mpya

    Cristiano Ronaldo sasa amefikisha mechi 10 mfululizo kwenye michuano mikubwa bila kufunga bao baada ya mchezo wa Portugal dhidi ya DR Congo ⚽🔥 CR7, Mnyama wa Madeira, Captain Fantastic, Mr. Champions League na The Portuguese Machine bado anaendelea kusaka bao utafikiri kama amelipoteza 😅 Cha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania walitumia Kombe la Dunia 2026 Kutangaza Utalii wake jiji la Toronto nchini Canada

    Kodi za wananchi zimefanya kazi, sasa tuone mabadiliko ya kweli kwenye hili. ================ Tanzania imekuwa taifa la kwanza barani Afrika kutumia Kombe la Dunia 2026 nchini Canada, katika jiji la Toronto, kama jukwaa kubwa la kutangaza sekta yake ya utalii. Malori yenye mabango ya kampeni ya...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Beki wa Iran, Ramin: Sisi tumekuja hapa kujibu maswali ya mpira, matatizo ya nchi yetu siyo yenu, ni yetu!

    Mfungaji wa bao la Ramin Rezaeian wa timu ya taifa ya Iran na Nyota wa mchezo dhidi ya New Zealand katika michuano ya Kombe la Dunia, alimwambia mwandishi wa habari kuwa kelele za kuzomea kutoka kwa waandamanaji wa diaspora ya Iran wakati wa wimbo wa taifa wa nchi yake “hazikuhusu wewe,” baada...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania TBC wanilipe fidia ya Milioni 500

    TBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup. Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street. Cha ajabu, watu wanakusanyika kusubiri mechi, TBC mara wanazindua vipindi vipya vya Safari Channel, mara mama yao anaongea peke...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Takriban mashabiki 500 wa Ivory Coast hawatakuwa na uwezo wa kusafiri kwenda Marekani kuishabikia timu yao ya taifa

    Around 500 Ivorian supporters will not be able to travel to the United States to support the Elephants. Côte d’Ivoire’s (also known as the Ivory Coast) supporters association had hoped to send a large delegation to cheer on the national team. However, fans were unable to secure the necessary...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026: Afrika kuipa support Mexico leo ni zao la Xenophobia?

    Leo ndio ile siku! Kipenga cha ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 kinapulizwa, lakini huku mitandaoni mambo yamegeuka. Badala ya bara la Afrika kusimama nyuma ya Afrika Kusini (Bafana Bafana), Waafrika wameamua kuhamia Mexico jumla jumla! Mtandaoni kumechafuka haswa! Ukiingia Facebook na X...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tiketi 180,000 za Kombe la Dunia zadoda kutokana na ukubwa wa bei

    Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA) bado lina takriban viti 180,000 ambavyo havijauzwa katika miji inayoandaa michuano hiyo Marekani, Canada, na Mexico. Hali hii inazua hofu mpya kwamba viwanja vinaweza kubaki vitupu, jambo ambalo linaweza kuharibu taswira ya michuano hii mikubwa kabisa ya soka...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa Kombe la Dunia 2026 atapata Tsh. Bilioni 131, wa Pili Tsh. Bilioni 92

    World Cup 2026 prize money – how much do teams earn for taking part and winning? THE 2026 FIFA World Cup will reportedly have a record prize pool, a stark increase from the £380million ($440m) up for grabs in 2022. This prize money is set to be split between the 48 competing teams. Here we...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City

    Ndiyo, leo ndiyo siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026! ⚽🌎 Mexico itafungua Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini mjini Mexico City. Hii ni marudio ya mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2010, ambapo timu hizi zilitoka sare ya 1–1 nchini Afrika Kusini. Jambo la kipekee ni kwamba Estadio...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Urusi imefungiwa na Marekani kucheza Kombe la Dunia?

    Kama USA imemrudisha refa wa Somalia, basi ile ni isue ndogo sana kwa Marekani, hili la Urusi Gen Z na millenia hamjui. Urusi haishiriki Kombe la Dunia la 2026 kwa sababu FIFA iliweka kizuizi rasmi kinachozuia timu hiyo kushiriki katika mashindano yake yote tangu mwezi Februari 2022. Hali hii...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

    Bingwa atakuwa Croatia. Mimi sio mchawi. Sio mtabiri. Sio Ostaz. Sio Mtume na Nabii. Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo. Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, azuiwa kuingia Marekani, kuchezesha Kombe la Dunia 2026

    Mwamuzi mashuhuri wa soka kutoka Somalia, Omar Artan, amezuiwa kuingia Marekani licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi 52 walioteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuchezesha mechi za Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika nchini Marekani, Canada na Mexico. Artan, ambaye angekuwa Mwamuzi wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae na matokeo yasiyotarajiwa kwenye kombe la dunia

    Gepu limepungua sana baina ya mataifa yalitokuwa yanatawala soka na mataifa mengine chipukizi katika kusakata kandanda. Tutarajie matokeo yasiyotarajiwa maana kuna vigogo wataadhirika kwa kichapo kutoka nchi zisizokuwa na historia kubwa ya soka. Kuna nchi toka Afrika na Asia zitashangaza...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania DR Congo yaiomba FIFA kurejesha Fedha za Tiketi za Kombe la Dunia 2026 kutokana na Vikwazo vya Ebola vilivyowekwa na Marekani

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeiomba FIFA kurejesha pesa za tiketi za Kombe la Dunia la 2026 zilizonunuliwa na mashabiki ambao sasa hawawezi kusafiri kwenda Marekani kutokana na vikwazo vya usafiri vinavyohusiana na ugonjwa wa Ebola. Ombi hili linakuja wakati taifa hilo la Afrika ya...
  19. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

    Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Neymar arejea Kikosi cha Brazil kwa Kombe la Dunia 2026!

    Neymar amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Brazil national football team kitakachoshiriki 2026 FIFA World Cup. Nyota huyo wa Brazil anarejea rasmi kuiongoza timu ya taifa baada ya kukaa nje kwa zaidi ya miaka miwili tangu alipocheza mechi yake ya mwisho. 🇧🇷🏆⚽ Kocha Carlo...
Back
Top Bottom