kombe la dunia 2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ni Timu gani ya Taifa utakuwa unaishabikia katika Kombe la Dunia 2026?

    Brazil🇧🇷
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA: Nimeonana na Iran, itashiriki Mechi za Kombe la Dunia 2026 zilizoandaliwa Marekani licha ya vita

    Akizungumza katika jukwaa la CNBC la Invest in America, Infantino, Aprili 15, 2026, alisema ni muhimu kwa Iran kushiriki michuano hiyo hata kama ushiriki wake umekuwa na mashaka tangu Marekani na Israel zilipoanzisha mashambulizi ya anga nchini humo. "Timu ya Iran inakuja bila shaka, ndiyo,"...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nike yakiri jezi za England za Kombe la Dunia 2026 zinazouzwa Tsh 408,324 zina kasoro baada ya kutumia AI kwenye usanifu

    Kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imekiri kuwa na kasoro katika jezi mpya za timu za taifa kwa ajili ya Kombe la Dunia, zikiwemo zile za England zinazouzwa kwa takriban Pauni 135. Tatizo hilo linahusisha mshono wa mabega ambao unajivuta na kutengeneza uvimbe usio wa kawaida (bulging), hali...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mataifa matano Afrika yanapaswa kuilipa Marekani dola 15,000 kwa shabiki mmoja Kombe la Dunia

    Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Kombe la Dunia 2026 ni mbaya; hauna hadhi ya michuano hiyo, umekaa kama Kwaya ya kanisani

    Bado siku 79 hadi mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi ya ufunguzi itachezwa Alhamisi, 11 Juni 2026 mjini Mexico, na ratiba ya FIFA inaonyesha mchezo huo ni Mexico dhidi ya Afrika Kusini maarufu Bafana Bafana (The Boys in Zulu). Tayari Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA)...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026

    Donald Trump amesema ‘hajali’ iwapo timu ya taifa ya Iran itashriki katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, michuano itakayofanyika majira ya joto mwaka huu. Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ‘hajali’ kama Iran itashiriki katika Kombe la Dunia mwaka 2026 litakalofanyika majira ya joto mwaka...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico. Idadi ya timu...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT' Congo Brazzaville 1-1 Tanzania inaisaka nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2026, Septemba 5, 2025| Saa 1:00 Usiku| Alphonse Massemba

    Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake. Baada ya mchezo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza kabisa, fainali ya Kombe la Dunia 2026 itakuwa na show wakati wa mapumziko kama Super Bowl

    Wakuu Soka linaongezewa tuvitu vitu🤩 Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itakuwa na onyesho maalum kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo kwenye muda ambao timu zinaenda kupumzika. Kombe la Dunia 2026 litakuwa toleo la 23 la...
Back
Top Bottom