Wafungaji Bora wa Kombe la Dunia 2026

Wafungaji Bora wa Kombe la Dunia 2026

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
418
Reaction score
553
Mpaka sasa katika Kombe la Dunia 2026, mbio za Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) zinaongozwa na wachezaji hawa:
  1. Kylian Mbappé (Ufaransa) – mabao 7.
  2. Lionel Messi (Argentina) – mabao 7.
  3. Erling Haaland (Norway) – mabao 7.
  4. Harry Kane (England) – mabao 6.
  5. Wakiwa na mabao 4kila mmoja:
    • Jude Bellingham
    • Mikel Oyarzabal
    • Ousmane Dembélé
    • Vinícius Júnior
    • Ismaila Sarr
    • Julian Quinones​
Nani kuibuka mfungaji bora?

1783318781225.png
 
Back
Top Bottom