kofia

The kofia is a brimless cylindrical cap with a flat crown, worn by men in East Africa, especially in Somalia, Kenya, Uganda . Kofia is a Swahili word that means hat. The kofia is worn with a dashiki, a colorful African shirt which is called a kitenge shirt in some regions of East Africa. In Uganda, the kofia is worn with the kanzu on informal occasions.
Jomo Kenyatta, the first President of Kenya, was often photographed wearing a kofia. The kofia is popular in Comoros. The traditional kofia has tiny pin holes in the cloth that allows the air to circulate. In West Africa, this cap is called a kufi.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kujificha kwenye kofia ya "HII NI NCHI HURU HATUWEZI KUINGILIWA "halafu unaua wananchi wako kama mbwa! Lazima utolewe kwa nguvu tu hakuna namna

    Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
  2. Zirconium

    Huduma za Kofia Ya Jino ( Dental crown)

    Kuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu. Hapa Kabla Na Baada Ya...
  3. Sifi Leo

    Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  4. Gordian Anduru

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
  5. Atl Printing

    Offer kubwa ya printing tshits na kofia

    Habari Wadau, Atl printing ndani ya mwezi huu wa Tisa tuna offer ya printing Tshirt (Sports,Polo na First & Time) logo kwa 15,000 TU, na kofia kwa 10,000. Pia kwa nahitaji ya printing kwa Promotion Material zote pamoja na Large format utajipatia kwa bei nzuri. Tunapatika Congo & Rufiji, Dar...
  6. Setfree

    Mungu amekataza wanaume kuvaa kofia wanaposali. Kwanini wanaume hawa wanakaidi agizo la Mungu?

    Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa. Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika: “Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi...
  7. Hot27

    Karibu ujipatie viatu mbalimbali vya michezo, mipira, jeans, t-shirt, kofia na mabegi mbalimbali

    Habari wanajukwaa, wafanyabiashara, na wote. Naomba niwakaribishe kwaajiri ya kujipatia viatu mbalimbali vya michezo, viatu vya kawaida, jeans, t-shirt kali na jezi OG kabisa. Tupo Karume kwa viatu vya michezo, mipira, guard pia kuna discount kwa anayechukua full yaani viatu, soksi na guard...
  8. fimboyaukwaju

    NAKUVULIA KOFIA KAKA YETU MKUBWA

    1.KUOLEWA KWA MDOGO WETU WA MWISHO. Kaka yetu kwa sasa ni mzee anakaribia miaka 90 na anaishi nje ya nchi kwa sasa. Ni mtu ambae sijawahi kuona jinsi alivyo na heshima,adabu,nidhamu,utulivu na utu wa ajabu kabisa.Kila siku namuombea kwa Mola ampe maisha marefu. Kaka alivyoondoka,mimi tayari...
  9. A

    KERO UDSM main campus kuwanyima haki wanafunzi wanaovaa kofia za cap kutumia baadhi ya huduma

    Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
  10. D

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  11. Mstahiki Mea

    Rangi za kofia za site na maana zake

  12. Mhafidhina07

    Kuvaa joho ni ishara gani na kurusha kofia kuna ashiria nini?

    Kwako Mwalimu kashasha. Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo. Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
  13. Chibule

    Je unafahamu Aina za Dental Crowns ? ( Kofia za jino )

    Neno Crown sio geni Sana , nahisi umelisikia. Ni aina ya meno bandia ambayo hutengezezwa maabara ili kuzibia jino / mapengo kwenye meno halisi yaliyotoboka au kutoka/ kuvunjika ili imusaidie mtu kutafuna chakula, Muonekano, Matamshi. Kuna Aina zaidi ya saba za Dental Crowns 1. Metal ceramics...
  14. U

    Kuvuja kwa kofia za nyumba

    Katika nyumba; 1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja? 2. Nini suluhisho lake? Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
  15. PAZIA 3

    Sare za mahafali elimu ya juu, kofia na gauni jeusi, kurusha juu kofia siku ya mahafali,( tossing graduation hats) asili yake ni nini?

    Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana
  16. Chakaza

    Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  17. Kaka yake shetani

    Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki

    Dagon ni jina la mungu katika hadithi za kale za Wafilisti. Anatajwa mara kadhaa katika Biblia, hasa katika kitabu cha 1 Samueli. Dagon alikuwa mungu wa kilimo na uzazi katika utamaduni wa Wafoinike na Wafilisti, na sanamu zake zilionekana kama mchanganyiko wa binadamu na samaki. Katika Biblia...
  18. BigTall

    Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

    Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii. Nini kinabainika? Kwa siku za hivi...
  19. Desierto

    Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini? Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani, Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu...
  20. Cecil J

    Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu

    ..
Back
Top Bottom