kodi

  1. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kuanzishwe Kodi mpya ya Kusanyiko la watu

    Habari Tanzania !. Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU". Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu...
  2. JamiiForums Tanzania Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

  3. JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Bora kuishi karibu Kwa Kodi kubwa, ama mbali Kwa nauli kubwa

    Unakuta mtu anafanya kazi au biashara Kariakoo lakini anaishi Kibaha, Bunju, Kitunda, Vikundu, Vingunguti n.k ambapo ukimuuliza anakwambia kule vyumba bei nafuu labda elfu 50k, lakini ukimshauri alipie 200k chumba maeneo ya karibu labda Magomeni, Kinondoni, Fire n.k anakataa anasema ni gharama...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  6. JamiiForums Tanzania CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

    Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo (This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu...
  7. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ushukuru au uombe kujengewa Barabara, Shule au Kisima na Serikali kama kodi na Rasilimali zenu ndo zinazozalisha hiyo hela?

    Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo wananchi wanalazimika kuandika barua, kuomba kwa wanasiasa au hata kuandamana ili kupata huduma za msingi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya Operesheni ya utekelezaji hiyo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM acheni kujihujumu wenyewe, acheni kukamata walipa kodi

    Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ombi la posho zenu zisikatwe kodi tumelisikia na tutalifikisha kwa wahusika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepokea ombi la wafanyakazi wa umma la kutojumuishwa kwa posho za wafanyakazi katika makato ya kodi na kuahidi kulifikisha suala hilo kwa vyombo husika vinavyoshughulika na masuala la mapato. Ombi hilo liliwasilishwa na Katibu Mkuu Shirikisho la Vyama...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiweka bango mbele ya duka lako unadaiwa kodi, ukiweka speaker kubwa hudaiwi kodi

    Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
  13. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Urekebu wa Sheria wagharimu Tsh 10 bilioni za walipa kodi. Kwa maneno ya Rais naona hakuna tatizo somewhere

    Nanukuu maneno ya rais: “Nazungumza hili nikiwa na fahari kubwa kwamba shughuli ya urekebu wa sheria, toleo la 2023 tunalozindua leo limegharamiwa na sisi wenyewe. Naambiwa shilingi bilioni 10 ziketumika kwenye hili”. “Mimi ninajua serikali ilikuwa inatoa fedha za urekebu wa sheria, lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyumba vitatu(3) kodi tshs.500,000/mwezi, Sinza-E

    ...
  16. JamiiForums Tanzania Kuagiza Lorry kama spare kutoka nje ya nchi ili kupunguza makali ya Kodi

    Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Michezo itaanza kuhamasisha ulipaji wa kodi

    DODOMA - Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema wizara imetenga fungu katika Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwa ajili ya kuhamasisha elimu ya mlipa kodi akiwataka Simba kutumia fursa hiyo.
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    Mtu mwenye line atakua analipa sh 1000 kwa mwezi na sh 12000 kwa mwaka kama income tax Hatakama watu wanaiba fedha haitaondoa ukweli bado makusanyo yetu ni madogo sana https://www.jamiiforums.com/threads/nina-nia-ya-kuwa-rais-wa-tanzania.2228628/ Usisahau kushare video na mwenzako
  19. JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa kodi yapungua

    Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji. Je, unadhani nini kimechangia hali hii? Je, wewe binafsi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania MANAGER WA TRA KULINDA WAKWEPA KODI

    Manager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…