Kama nyumba yenyewe unayoipangisha ndio hii kwenye hizi picha ulizoweka hapa itakua ngumu sana kupata mpangaji wa hata laki 3 tu Kwa mwezi.Nyumba ina-share Parking na Wapangaji wawili.
Yenyewe ni kubwa na inajitegemea na ipo ndani Fensi.
Vyumba vya kulala ni 3 (Masta 1)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina AC Sebuleni na Masta tu.
MHITAJI KWELI WAHI UJE KUONA.
HAZIKAI HIZI NA NI ADIMU.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
________slB
Pumbavu sana wewe,Punguzeni ujuaji na kiherehere.
Hiyo nyumba tayari imepangishwa
Saa mbili asubuhi Leo na nilijua haimalizi siku.
Sinza nyumba ya Laki Tano unaleta fyokofyoko, stupid.
Endeleeni kuwa na mawazo hasi hivyohivyo.
😂😂😂😂😂Pumbavu sana wewe,
Jinga sana.
Ndio mnafanya kazi za udalali zinaonekana za watu wa porojo porojo. Kama unajua ingepangishika huku JF ulikuja kutafuta mabwana au? Sio wote wanapenda hiyo michezo ya upinde unayoifanya.
Huna unachojua we mbumbumbu.Stress is real.
Nimeposti jana,
Imepangishwa Leo.
Huko kichwani kwako kuna Mavi au Maisha yanakutwanga unabwabwaja tu?
Anyway;
Tabibu kakuambia kutukana usiowajua na pasi na sababu itamaliza tatizo lako, sio?
Sikurudishii Matusi yako.
Mimi nimelelewa na najielewa.
Lakini, jitahidi Matusi yako uwe unachanganya na mapyamapya basi.
Tafuta Kazi ya kufanyaStress is real.
Nimeposti jana,
Imepangishwa Leo.
Huko kichwani kwako kuna Mavi au Maisha yanakutwanga unabwabwaja tu?
Anyway;
Tabibu kakuambia kutukana usiowajua na pasi na sababu itamaliza tatizo lako, sio?
Sikurudishii Matusi yako.
Mimi nimelelewa na najielewa.
Lakini, jitahidi Matusi yako uwe unachanganya na mapyamapya basi.
Angalau wewe umefanya fairKuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI
Hii mambo, mimi nilishaikataa kabisaAngalau wewe umefanya fair
Huna unachojua we mbumbumbu.
Wewe ni unafanya mpaka kazi ya udalali inaonekana ya watu wasiosoma. Hizo nyumba za watu unazopangisha mimi ninazo kadhaa ambazo naweza nikakupa moja ukae tu upunguze ugumu wa maisha.
Hayo mapya kama wewe unayapenda unaweza ukayaweka pia.
Huna lolote jinga kabisa wewe. Sijawahi kuona dalali mpumbavu kama wewe. Ni kama hii kazi umeivamia labda baada ya kuona maisha magumu.Nimezaliwa na Waungwana,
Wakanilea vizuri na Nimestaarabika.
Sikukuzwa Kishenzi kama wewe.
Swala la Elimu;
Mimi siijui hata Shule ya Msingi;
Lakini inakuhusu nini Kima wewe?
Kama kuwa na Elimu ndio kuwa Mjinga wa kaliba yako hiyo Elimu ya kazi gani?
Inawezekana umekwenda 'kwenye Shule'
Hujaenda shule.
Kuhusu wewe kuwa na nyumba,
Iwapo ni kweli, Hongera.
Kumbe hata MAJINGA YANAJENGA MJINI.
Lakini hujaulizwa,
Huu wako ni USHAMBA na inaonyesha ulivyo waajabu.
Eti, Unipe nikae bure, nimekuambia sina pakukaa?
Niondolee ukulima wako na usinizoee Nguruwe pori wewe.
Sasa wee unatuletea makasiriko tulikuita huku...umekuja mwenyewe tuliza mbupuz ishi na wandu wa jf vizuriPunguzeni ujuaji na kiherehere.
Hiyo nyumba tayari imepangishwa
Saa mbili asubuhi Leo na nilijua haimalizi siku.
Sinza nyumba ya Laki Tano unaleta fyokofyoko, stupid.
Endeleeni kuwa na mawazo hasi hivyohivyo.
Dalali unakisukari?!Punguzeni ujuaji na kiherehere.
Hiyo nyumba tayari imepangishwa
Saa mbili asubuhi Leo na nilijua haimalizi siku.
Sinza nyumba ya Laki Tano unaleta fyokofyoko, stupid.
Endeleeni kuwa na mawazo hasi hivyohivyo.