kodi

  1. JamiiForums Tanzania Serikali inapokusanya Kodi inaweka AKIBA?

    Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA? Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?
  2. JamiiForums Tanzania Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwasababu wanapenda kuonyesha kuwa wao ni wababe, sitashangaa kuona makanisa na misikita vinaanza kutozwa kodi

    Kwa akili zao za hawa watu, sitashangaa kuona mapato katika nyumba za ibada( Misikita na Makanisa) na shughuli zote zenye kuhusisha makanisa na misikita ambazo awali zilikuwa hazitozwi kodi, sasa zikaanza kutozwa kodi. Kama itabidi kubadili sheria, kanuni au mikataba, watafanya hivyo ili tu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inavyoibiwa Kodi kwenye Vilemu vya Uchimbaji Madini (hasa Malera, Nyamongo) Ofisi ya Madini ikihusika moja kwa moja!

    Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Mwishoni nitatoa pendekezo langu juu ya nini kifanyike namna nzuri ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kodi emu tupeni elimu

    Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
  6. JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Tanzania, nchi zinazowafikiria wananchi wake hazikati kodi kamili kwenye gawio (dividends) na marupurupu ya mshahara (benefits)

    Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu. Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yajibu hoja ya Mbunge "Kuondoa sharti la kulipa kodi kabla ya kuanza biashara"

    Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa. Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya DENI LA MAMA Kufikia T 107 , Rais kaja na Gia ya 'Tulipe Kodi huko nje mashariti magumu", Ukweli ni kua DENI libakaribia Kufikia !!

    Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!. Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Ameongezewa Kodi ya mapato Kutoka 100,000 mpaka 700,000

    Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi? Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano; 1. Unashindwa kujifanyia self assessment. Hapa mamlaka ya mapato wanaamua kukukadiria wao wenyewe. 2. Unachelewa sana ku...
  12. JamiiForums Tanzania TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza kodi kwenye Betting

    Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa bima ya...
  14. JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  15. JamiiForums Tanzania Mary Baine ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF)

    03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine anachukua nafasi ya Bw. Logan Wort, ambaye ametumikia kama Katibu Mtendaji wa ATAF tangu kuanzishwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye TATHIMINI ya Kodi za TRA Kwa magari yanayoagizwa Toka nje ya nchi

    Habari Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo maalum la kufanya TATHIMINI Kwa pamoja ktk magari used yanayotoka nje ya nchi katika Kodi za TRA pekee, Bei halisi za magari nitazitoa katika official website ya beforwad na Kisha kufanya evaluation au TATHIMINI Kwa kiswahili Karibuni Asante 8686153806
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge wamependekeza Serikali kuandaa Sera moja ya kodi ili kutoa mwongozo wa masuala yote ya Kodi Nchini

    WABUNGE Wamependekeza Serikali Kuandaa Sera Moja ya Kodi ili Kutoa Mwongozo wa Masuala Yote ya Kodi Nchini. - Akisoma maoni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Fedha mwaka wa fedha 2024/2025, pamoja na maoni ya kamati kuhusu makadirio ya mapato na...
  18. JamiiForums Tanzania Mchechu: Ofisi ya Msajili wa Hazina ina shauku ya kukusanya Sh Trilioni 1 kama mapato yasiyo ya kodi katika Mwaka wa Fedha wa 2024/25

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200. Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu wanaikosesha serikali mapato halali ya kodi

    Wakati wa utawala wa JPM aliwahi kuwashukia baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu kwa kusababisha serikali kukosa mapato yake halali yatokanayo na kodi. Aliwaambia ana kwa ana kuwa wanahusika katika kutoa mahesabu yaliyokaguliwa ya aina mbili. Seti ya kwanza ya mahesabu yaliyokaguliwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kuanzishwe Kodi mpya ya Kusanyiko la watu

    Habari Tanzania !. Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU". Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…