Wakati umefika tuwe na sheria ya kutaka madalali wasajiliwe na walipe kodi kwani licha ya kuingiza kipato kupitia udalali, wanaongezea watu gharama za maisha huko wao hawalipwi kodi.
Dalali akikutafutia nyumba/chumba, unatakiwa umlipe kodi ya mwezi mmoja mbali na kodi unayopaswa kumlipa mwenye...