kodi

  1. Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia. Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
  2. Badala ya kodi za simu mngefanya haya kwanza...

    Habari wakuu, kiukweli Serikali hii imetuumiza mno, kwenye makato haya ya simu, mm nafikiri kabla ya kuwaza kumkata mwananchi wa wa butobori!!! Wangeanza kufanya haya 1: Kupunguza posho na mishahara ya wabunge, na kuondoa viti maalumu havina kazi, sambamba na kuondoa wabunge Covid 19 2...
  3. T

    Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

    Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
  4. Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  5. SoC01 Ushauri wangu kwa Serikali kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
  6. Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

    Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
  7. Kodi za kwenye mafuta ziangaliwe upya

    Asikudanganye MTU hata kama ukiongeza mshahara lakini ukaongeza bei ya mafuta ni kama umechukua ulichoongeza. Nani humu JF anazifahamu kodi zilizomo kwenye mafuta ya petroli na mafuta ya kula atujuze? Hali za wananchi bila kujali vyama vya siasa zinatia mashaka, kiuhalisia hawatofautiani sana...
  8. Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

    Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
  9. Wenye majengo walipe wenyewe kodi ya jengo

    Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui. Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka bima ya afya (NHIF) tuilipe kwenye mfumo wa LUKU, hii ingetuwezesha tusio na uwezo wa kulipa kwa...
  10. Serikali imekosa ubunifu, inachofikiri ni kuongeza kodi tu

    Ukimuangalia Mpango na Mwigulu wote akili zao zinafanana, wanachofikiri kila siku ni kuongeza kodi. Kwa akili hizi hatuwezi kwenda mahali popote. Tanzania ili iendelee lazima tuwe na ubunifu na lazima tutumie pure capitalism ili nchi iendelee kivipi;- Kushusha corporate tax kutoka asilimia 30...
  11. Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
  12. Mwigulu Nchemba atoa siku 14 makampuni ya mawasiliano kutoza kodi zilizokubaliwa

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali. Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
  13. Marekani: Kampuni ya Donald Trump yafunguliwa mashtaka ya kodi

    Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
  14. Ongezeko la kodi ya Mafuta ni kuwalipa fadhila "Wakubwa" wanaomiliki hisa/makampuni/vituo vya Mafuta?

    Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
  15. M

    Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  16. K

    Vitu vitatu vinavyopunguza makusanyo ya kodi

    Makusanyo ya kodi za Tanzania hayafikii malengo kwa sababu ya vitu vitatu vikubwa 1. Machinga: Hatuwezi kuwa na kundi la watu wasiolipa kodi na wawe na haki kuliko walipa kodi. Huwezi kuruhusu wamachinga kuuza vitu vipya bila kodi na sehemu yoyote na hata mbele ya maduka ya walipa kodi...
  17. P

    Kwa hiki kinachoendelea TRA sasa ni kitu cha kuchukua hatua

    Habari za leo. Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload. Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya kisheria yatekelezwe. Sheria inataka mpaka tarehe 30 sasa kufanya system iwe na issue wakati tunajua...
  18. Suala la Wabunge kukatwa kodi si la kupuuza

    Kuna mambo kama hatuwezi kuyakomalia basi hata mengine tuachane nayo. Maana yake hatujui tunataka kufika wapi! Suala la wabunge kukatwa kodi si la kupunguzia sauti. Si kwa mapato ya taifa tu bali pia kwa kuweka misingi bora ya elimu ya kulipa kodi. Hivi mbunge anaombaje miundombinu na huduma...
  19. Dkt. Nchemba: Ukwepaji wa kodi liwe jambo la aibu

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ipo haja kwa watoto wadogo kuanza kuelimishwa juu ya umuhimu wa kulipa kodi ili watoto wakue wakijua kwamba ukwepaji wa kodi ama upokeaji na utoaji wa rushwa ni jambo la aibu katika familia. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu...
  20. Hili la wabunge kutolipa kodi linatafakarisha na kuchefua

    Wasalaam, mfanyakazi wa kawaida analipwa kima cha chini 370,000 na anakatwa kodi asilimia 9 lakini Mbunge analipwa mamilioni na hakatwi kodi hii sio sawa Serikali ya CCM mnanyonya maiti damu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…