Wakuu
Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba
Hali hiyo imekuwa ikisababisha baadhi ya bidhaa kupanda bei tofauti na uhalisia kwa kuwa tunalazimika kufanya hivyo...
Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu amesema wataendelea kuvilea vilabu vya kodi mashuleni ili kuwaandaa watoto kuwa walipokodi wazuri wa baadae na kuwa mabalozi kwa jamiii juu ya ulipaji kodi kwa hiyari.
Bw. Pandu ameyasema hayo tarehe 23/11/2024 kabla...
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia utaratibu wa kulipa kodi kutokana na shughuli anazofanya.
Mwijaku amenukuliwa akisema
"Kwa siku ninaingiza...
Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye amewataka wahitimu kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho na kuwa vinara katika kuhamasisha ulipaji kodi kwa...
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
Ninaponunua LUKU nalipa kodi
Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi...
Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine.
Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11
Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
Mkurugenzi Mtendaji Wa Pwani Youth Network (PYN), Fredy Mtei amesema kuwa hatua ambazo zimeanza kuchukuliwa kuhusu kuboresha changamoto za kikodi zinaleta matumaini ambayo yanaweza kupunguza kero ambazo zimekuwa zikilalamikiwa.
"TRA imeshaanza kujisahihisha kwa namna mbalimbali katika kuboresha...
Kuna wahubiri siku hizi wanauza maji, chumvi ama mafuta ili kutatua shida za watu (sina uhakika kama vinatatua).
Bei zao ni kubwa sana na wanaingiza pesa ya kutosha. Swali, Je, kuna haja walipe kodi ya mapato kwa mauzo hayo?
Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA.
jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100.
Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA...
Sasa hivi vijana wa vijini wanahamia Wilayani na mikoani kwenda kufanya uchuuzi.
Vijana wa Wilayani na mikoani wanahamia Dar es salaam. Kijana hata elimu ya kidato cha nne hana, cheti cha ufundi hana, ufundi au ujuzi wowote hana anakimbia kijijini anakwenda mjini .
Ufanyike usajili kwenye...
Kuna Notion kwamba Watu hawalipi Kodi, na bila kuongeza vyanzo kwa kuwakamua zaidi Nchi haiwezi kuendelea...
Kwanza kabisa sio kweli kwamba watu hawalipi Kodi; kila mtu analipa Kodi indirectly na kutokana na vyanzo vyetu na Tozo tunaweza kuendesha nchi hata bila Kodi ya Mapato; Nikitoa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.