kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi😂😂
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi cha Sasa. Ukishakuwa single mother tafuta tuu Pesa. Hakuna Mwanaume atakayehitaji single mother Maskini asiye na kazi

    KWA KIZAZI CHA SASA. UKISHAKUWA SINGLE MOTHER TAFUTA TUU PESA. HAKUNA MWANAUME ATAKAYEHITAJI SINGLE MOTHER MASKINI ASIYE NA KAZI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mambo ya ûkipenda Boga penda na ua lake ni Misemo ya kipigaji waliopigwa Wazee wa Miaka ya Uhuru Huko. Mambo mengi...
  3. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

    Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa. Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa...
  5. Decruise

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wetu wa zamani bado wanathaminiwa katika kufundisha kizazi kilichopo mashuleni?

    Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
  6. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Enyi kizazi cha TikTok

    Kizazi cha blue band! Katika ulimwengu wa teknolojia, tunashuhudia mabadiliko makubwa, Kizazi cha kisasa kikiishi kwa haraka, hakina muda wa kupumzika, Simu na mitandao, maisha yamejaa kelele na mchanganyiko, Lakini wapo wanaosema, “Hawa ni watoto wa kisela.”.. Nafasi za kazi zinasogezwa...
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hiki kizazi mnaharibu sana Kiswahili "KUHEMEA" ndio maana yake nini?

    Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  9. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyotengeneza kizazi dhaifu kijacho pasipo kujua

    Habari wana jamii.. Kwa ufupi tu ningependa tuongelee hii changamoto ambayo wengi pia waaifahamu na wanajua inaathiri vp jamii. Tangu hapo mwanzo jamii imekuwa ikibadilika kizazi hata kizazi katika namna tofauti kulingana na nyakati nanamna ya kuishi katika nyakati husika. Kubadilika kwa vizazi...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza mjibu kwa ufasaha maswali 3 ambayo kizazi cha Ibrahim Traore kinajiuliza ?

    Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :- 1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ? 2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ? 3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wazee mnakichukia hiki kizazi cha sasa?

    Leo wakati mekaa sehem mida ya mchana pembeni yangu kuna baba mzee mtu mzima. Asa akapita kijana mmoja wa kiume amevaa kaptura fupi kama chupi alaf juu akavalia na taiti ambayo inaonesha ndani alaf chini akapiga bonge la buti kama yale mabuti wanaovaaga wazungu kipindi cha baridi 😂 mzee alianza...
  12. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki inawezekana kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu?

    Salaam wakuu, Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa. Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha Kucheat imekuwa kitu Cha...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

    Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika, Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani na wananafasi gani hapa...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha ovyo tulichonacho ni matokeo ya malezi haya!

    Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  18. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kosi la Simba la 2024-25 ni kosi la UltraSound, kizazi kisicho na adabu

    Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira hovyo. Kiufupi timu ilikosa sense of speed and style. Ultrasound ni teknolojia inayotumia katika...
  20. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Vijana tupo kwenye kizazi kigumu sana

    Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa? Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu nataka tujenge mahusiano kwanza mtu anashindwa kujikaza kusubiri hata wiki iishe wakuu. Yani kwa...
Back
Top Bottom