kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kazi yako nitaitaja hapa chini, nakushauri fanya toba ili kizazi chako kisilaaniwe

    Laana ni nini? Laana ni zao la maneno ya haki yanayotamkwa katika hali ya uchungu. Yaani si kila jambo linalotamkwa kwa uchungu kwamba linaweza kuleta laana Bali ni uchungu wenye haki ndani yake. Pia hata damu iliyomwagwa huweza kutamka maneno ya uchungu na kupelekea laana kwa mwagaji na...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Enyi kizazi cha nyoka, intelligence haiwezi kuwa artificial

    Kwa mshangao mkuu, ni kama dunia nzima imepigwa upofu, watu wanataharuki, ni nini mustakabali wa mwanadamu ili hali kuna akili mnembe? Nakuambia wewe kizazi cha nyoka, AI haiwezi kufanya kazi kama haijawa programmed na binadamu, itafuata algorithm zile zilizotengenezwa na mwanadamu Mwanadamu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa kwa kizazi hiki

    1. Usikope bila mumeo kujua. 2. Kaa mbali na ma ex wako wa zamani ambao ulikuwa nao kabla ya ndoa. Futa mawasiliano yao ukiwezekana. 3. Rafiki au mgeni yeyote wa kiume asije nyumbani kwenu na ukaribishe ndani wakati mumeo hayupo.Hata kama ni rafiki wa mumeo. 4. Usiende kwenye nyumba ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa baadaye?

    Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye? Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe halisi inabidi; (a)kwanza serikali ihamasishe wananchi kutumia gesi kama nishati bora kwa matumizi ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania GEN Z kizazi kilichobarikiwa sana

    1996-2010. Hichi kizazi kimebarikiwa sana,hakisubiri sijui serikali itoe ajira wanazama front wenyewe ni wapambanahi sana Wengi wao wanajitegemea sio kama sisi kizazi cha millennium bado tupo kwa wazazi jitu lina miaka 36 bado lipo kwa mama. Wengi wao wanapiga pesa simple sana sio mpaka watoe...
  6. Last_Born

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu Bora: Kuwekeza Katika Kizazi cha Baadaye cha Tanzania

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye na kushiriki katika ujenzi wa taifa lenye nguvu na mafanikio. Kuboresha elimu kunahitaji mabadiliko...
  7. SuperHb

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujuzi mashuleni ili kutengeneza kizazi cha kujitegema na kufanya nchi kukua kiuchumi kwa haraka

    UTANGULIZI: Elimu-Ni chanzo Cha Cha kuondoa ujinga, na kufanya jamii na mtu mmoja mmoja kuwa na uelewa wa mambo mbalimbali, yakiwemo ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiafya. UMUHIMU WA ELIMU I.Elimu inasaidia kuondoa ujinga II.Inasaidia Kujitambua kama binadamu iii. Inasaidia kuchochea maendeleo Kwa...
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January hakiwezi kutuletea maendeleo yoyote, kizazi cha akina Makonda, Hapi ndicho kina kitu ndani yao

    Uzi huu nauandika nikiwa nimebanwa nkaa kwenye mwendokasi. Na nimepanda mwendokasi kwa sababu sina jinsi maana route ya daladala iliuawa kutokea town centre kuelekea Ubungo hadi Kimara. Hivyo ndivyo maono yangu yanavyonituma. Kwamba hiki kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January, kamwe hakitakaa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

    Habari zenu wanajukwaa.. Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901.. Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya miaka 16 kwenye kila kizazi.. Kuna sources kadhaa zinazoelezea hivi vizazi, na nyingine...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokosa maadili

    Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye jamii kawaida Hawa watoto hawana chembe ya aibu hata kidogo, wavivu' wanapenda mseleleko sana sio...
  11. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo Kwa kizazi cha sasa na kijacho hususani kwenye Nyanja ya Afya, Ardhi, Mazingira

    Niwasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!...... Awali ya yote napenda kujadili maada hii kwa Maslahi mapana ya Taifa. 👉Kizazi cha sasa na kijacho nchini Tanzania kinahitaji uongozi bora, elimu bora na fursa sawa za kimaendeleo kwa vijana. Pia, panahitajika kuwekeza katika...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sura mpya ya Tanzania: Manufaa kwa kizazi cha sasa na kinachokuja

    Imezoeleka katika chambuzi nyingi, watu husifia. Lakini ni vigumu sana kufanya uchambuzi kwa kuonesha makosa au udhaifu katika nyanja mbalimbali hususani katika jambo unalolifanyia kazi. Bila ya kukinzana na matakwa ya jukwaa hili zifuatazo ni hoja zinazoonyesha Matarajio au shauku ni kivipi...
  13. henrymimbo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya ya mtoto pindi anazaliwa ni bora zaidi kwa makuzi na malezi ya mtoto hii itasaidia kuleta kizazi bora hapa nchini

    UTANGULIZI afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

    Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu. Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua...
  15. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

    Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  17. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

    Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege.. Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba...
  18. Berlin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mwelekeo wa Tanzania: Elimu na Afya Kwa Kizazi Kijacho

    Tanzania ya leo inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta za elimu na afya. Hata hivyo, tunapaswa kuangalia mbele kwa mtazamo wa kipekee na kufikiria mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko ya kweli na endelevu katika maisha ya Watanzania. Elimu Bora Kwa Kila Mtoto: • Kujenga...
  19. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ongezeko la Kataa Ndoa, feminists wanaharibu kizazi kijacho

    Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana physical power, yaani mfano hata kazi ngumu au vitu vigumu vitamshinda... Na tofauti nyingine nyingi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
Back
Top Bottom