kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasampa ovyo kabisa sikujua Lil Nas X yuko vile

    Habarini wanajamvi. Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA, Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober house,sijajua kesi yake iliishaje.
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa anachofanya Trump kwa sasa, tumepata Hitler wa kizazi hiki

    Marekani, taifa lililojengekwa kwa ujambazi na utumwa, limerudia asili yake. Leo, limechukua mafuta ya Venezuela. Kesho, hatujui litachukua madini ya nani. Kesho kutwa, hatujui litawachukua watu gani kuwafanya watumwa. Mtondo, hatujui litakuja na mpya gani. Mtondogoo, hatujui, litaanzisha...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yagundua ulinzi wa mpaka wa kisasa kabisa!

    🚨 ISRAELI YAFUNGUA ULINZI WA MPAKA WA KIZAZI KIJACHO Magari yanayojiendesha, ndege zisizo na rubani, na ndege nyepesi sasa zinaunganishwa katika mfumo mmoja wa ulinzi wa mpaka unaoendeshwa na AI, uliozinduliwa na Viwanda vya Anga vya Israeli. 🔹 Muunganisho wa akili wa wakati halisi katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, tumejichanganya na kizazi kisicho sahihi?

    Kwa kimombo tungesema! Did we mess up with wrong generation? Jibu linaweza kuwa ndio ama hapana kulingana na mitazamo, fikra na maono! Ila kiuhalisia watoto wa mjini wanasema tumeingia cha city.. Sio cha kike! Tulijisahau sana! Tukadhani wao ndio sisi na mawazo yetu ni yao! Hiki ni kikazi cha...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuongoza kizazi hichi kwa viongozi waliopitwa na wakati

    Kwanza mnatakiwa kabla hamjafanya chochote kutoa Taarifa kwa umma inabidi mtulie, muichambue kwa makini, vijana wa leo wanajua mambo mengi na wanauwezo mkubwa wa kuchakata mambo. Hii comment hapo chini imenifurahisha sana ikiiilenga shirika la umeme kwa kutoa kanusho.
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z sio kizazi cha wafia dini

    Kuna kitu lazima mamlaka zijifunze leo na hata kesho kea manufaa ya Dada na ya baadae Gen Z sio kizazi cha wafia dini.. In fact hawako serious kabisa na dini.. Wana tafsiri za kushangaza kuhusu dini, na wameshuhudia mambo mabovu na ya kutisha kwenye dini kuliko kwenye sehemu ambazo si za dini...
  9. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Gen Z ndo kizazi bora na cha watu wenye upeo wa juu wa uelewa

    Gen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Huu ujinga wa dini,wachungaji na masheikh utafika mwisho kwenye kizazi hiki cha sasa

    Dini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake. Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha mwisho kuabudu ujinga huu wa dini za kuja na vitabu vyake.
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa sababu waloandamana ni Wageni, asipatikane MTU yoyote kujihusianisha na kile kinachoitwa 'Maridhiano' kwakua MTU huyo Hatasamehewa Yeye na Kizazi

    Hii sio Tanzania ya 1990 !. Tanzania Mpya imezaliwa Tarehe 29/10/2025, Kinachoendelea na kitakachoendelea na Mchakato wa makuzi ya mtoto!!. Sasa , Uzi Huu ni Ushauri na Ukumbusho na Onyo Kwa wooooote wale ambao Majina yao yataoneoana kwenye Karatasi Takataka inayoitwa "Mwenyekiti ,Katibu Na...
  12. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa vijana waliozaliwa 1990s, kinaweza ndo kikawa kizazi kitakachoiondoa CCM

    Naona ndo kizazi chenye watu wanaojitambua na kujua haki zao hapa Tanzania. So Ccm muwe makini Sana .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Leo bado Kuna kile kizazi mpaka sasa mama yupo, bibi yupo na mama wa bibi pia yupo?

    ..... yani wewe hapo upo mama yako yupo, bibi yako yupo, na pia mama wa bibi yako pia yupo? yani mama mzaa bibi, inafurahisha sana eeh🙂
  14. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

    Habarini wakuu, natumaini mu wazima. Moja Kwa Moja kwenye mada, Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa haitatui matatizo iliyopaswa kuyatatua . Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Siku hazirudi Nyuma : Kile Kizazi cha Dhahabu cha Team ya Taifa ya Cameroon

    Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA. Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho. “golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye Kombe la Dunia 1990 (Italia) wakati wa Roger Milla na wenzake. Hicho ndicho kikosi kinachokumbukwa...
  16. 01-01-2025

    JamiiForums Tanzania Uoga Unaopandikizwa kwa Kizazi cha Kitanzania Ume zingatia hali zisio tabirika kama za mwaka 1978 ?

    .
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Nokia 3310: Simu ya Kizazi cha Dhahabu

    Ni Septemba mosi ya mwaka 2000 mara baada ya mchakato mkubwa wa kurudi tena jikoni na kuipika na kufanyia kazi mapendekezo, na madhaifu ya Nokia 3210, siku hiyo ya Ijumaa ikawa ni siku bora kuwahi kutokea katika uwanja wa teknolojia ya mawasiliano, kwani ndio siku ambayo dunia kwa mara ya kwanza...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
  19. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tumekuwa kama Kizazi cha Israel

    Katika kitabu cha Qur'an, aya ya 80, katika Sura ya 20 inasema: "Enyi Wana wa Israili! Hakika tulikuokoeni na adui yenu, na tukakuahidini upande wa kulia wa mlima. Na tulikuteremshieni Manna na Salwa" Kwa kiingereza: O ye Children of Israel! We delivered you from your enemy, and We made a...
  20. Donatila

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
Back
Top Bottom