kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mauti, Jinsi technolojia inavyomaliza kizazi kizima

    Tunaishi katika kizazi kilicho na: Simu zenye akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii yenye ushawishi kuliko wazazi, walimu, au viongozi wa dini. Maarifa mengi, lakini hekima haba. Je, maendeleo haya yanatupeleka kwenye nuru au tunazidi kuzama kwenye kivuli cha giza lisiloonekana...
  2. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Israel kagusa mzizi, muda si mrefu mashariki ya kati itapata amani ya Muda mrefu, uenda kizazi chetu kisione tena machafuko

    Iko wazi kuwa Iran ndie sponsor mkubwa wa vikundi vya kupambana na Israel huko Mashariki ya kati, Iran ndie supplier mkubwa wa silaha kwa Hamas, Hezbollah na Houthi. Katika safari ya vita ya Israel, alianza kupambana na matawi kwanza (makundi ya kigaidi) kabla ya kuhamia kwenye sponsor wao...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  4. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 80's ni moja ya vizazi vya ovyo sana Nchi hii!

    IGwe! Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's. Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote utawakuta humu, kama ulimsikia jiwe akizungumzia watanzania wanyonge basi alikua anazungumzia hili kundi! ni...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini kizazi cha leo kinakumbwa na changamoto za kiafya za kutisha?

    Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na magonjwa ya uzazi, matatizo ya afya ya akili, matatizo ya kimwili kama vile unene kupindukia, na hata...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kizazi kipya kinaelimika zaidi lakini kimeharibika zaidi. Je, tatizo ni Elimu au Malezi?

    Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani. Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
  7. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 Thread🧵

    Uzi huu mahsusi kushauriana ,Michongo, Connection za kazi na kutiana moyo. 👉Familiar Hakikisha kila unachoingiza weka akiba ya %10. 👉Dhama zetu maarifa ni lazima Hivyo Hakikisha kila siku angalau umesoma page 2 za kitabu. 👉Huwezi kutajirika kwa kunyooka 100%, hicho kitu hakipo, lazima ucheze...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

    Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru Watu ni waoga sijapata kuona
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wa hiki kizazi wabadilike vinginevyo watakuwa hasara kwa wazazi

    Sasa hivi ukishakua na mtoto wa kike ni kama nusu hasara kibaya zaidi hata wale tunaowategemea wawe smart kichwani mfan wasomi wanavyuo n.k ndo wanafanya blunders . Kimsingi mabinti wengi wamekosa ambition za vitu vya maana wao wanatafuta shortcut kupitia hasa kupitia ngono Vibinti vidogo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Kizazi cha sasa kimejaa wajinga kuliko Babu zetu- Shikamoo TAL

    Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii...
  11. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kizazi Kilichodanganywa na Likes na retweet......

    Kwa heshima na uzito mkubwa wa kiakili na kijamii, natangaza kwa sauti ya wazi na isiyoyumba kuwa vijana wengi wa kizazi hiki wanapoteza dira, maadili na mwelekeo wa maisha. Tunaushuhudia ushindi wa ujinga dhidi ya hekima, ushindi wa starehe dhidi ya juhudi, na zaidi ya yote, ushindi wa mitandao...
  12. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU. Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri wa mali za familia. Leo tunajifunza jinsi ya kuhakikisha utajiri wa...
  15. gstar

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha maroboti kutawala dunia

    Baada ya takribani kama miaka 50 hivi ijayo teknolojia itakapokuwa juu sana. Mfumo wa Artificial Intelligence (AI) utakuwa umeimarika kiasi kwamba maroboti yataweza kuwasiliana na kufanya uamuzi unao fanana. Mifumo hiyo itayawezesha maroboti hayo kufanya maamuzi ya hatari kwa kumwasi aliye...
  16. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SIMBA SC: "NO REFORM, NO GAME", KIZAZI CHA MABADILIKO

    Ni masaa kadhaa tangu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF kutoa taarifa rasmi ya kuahirishwa kwa mchezo na 178 wa ligi kuu Tanzania bara huku mashabiki na wadau wa soka nchini wakiachwa vinywa wazi. Taarifa hii imekuja mara baada ya timu Simba Sc ikidai kuzuiwa kufanya mazoezi yao ya...
  17. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki wazazi tuna kazi kubwa

    Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na pia adabu kwa wakubwa lilikuwa si ombi bali ni lazima uliweza adhibiwa na yoyote ili miradi...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaharakati wa afya wasipodhibitiwa tutatengeneza kizazi goigoi

    Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali maharage wa kushiba ni changamoto. Mimi nimeishi maeneo ya uswahilini Dsm nikaona mwenyewe jinsi watu...
  19. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Pamba Acheni Kumfurahisha RC Mtanda Mtashuka Daraja Bure na Hamtapanda Tena Kizazi Hiki

    Timu ya Pamba ni kama imesha jitambua hasa mzunguko huu wa pili na kuna dalili inaweza kuepuka kushuka daraja na watu wa Mwanza waliopambana kuipandisha wakabaki na furaha. Lakini sasa limebaki tishio la mlezi wenu RC Mtanda kutaka kuitumia timu hii ya wana Mwanza kwa manufaa yake binafsi na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

    Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua. MADHARA 1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo...
Back
Top Bottom