kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiwango cha kuishi chazidi kushuka huko Gaza

    Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023 Kiwango cha wao kuishi kimepungua sana kutokana na mambo wanayoyafanya na wengi huna katika vurugu na wengi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi hawa madogo wa sasa wa samba boys kweli wataifikia kiwango hii brazil ya kipindi kile

    Na hapo unaambiwa ronaldo alikuwa ana kilo kama 5000 hivi 😁😁 https://youtube.com/shorts/PwnEbSL0oX8?si=GA4CBzUUyhrbYj5s
  3. JamiiForums Tanzania Kila nikiwatazama baadhi ya Wachezaji wa Yanga SC, naamini kweli mpira ni connection hata kama kiwango kimeisha

    Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna. Ndiyoooo!! Huu ni ukweli Mchungu kabisa tena kweli ambao ukiumeza Lazima uombe sukari ama asali ili upoze...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme

    Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
  5. JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM unavyoathiri kiwango cha Taifa Stats

    Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje. Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu. Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kiwango maalum cha damu ndani ya mwili?

    Habari zenu wana jamiiforums Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri niichangie ipungue hadi 13.0 ili mwili wangu niache kujiskia vibaya na kuumwa kichwa je hakuna madhara...
  7. JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini kuwa Soka la Zambia sasa limekwisha na kuwa la Kipuuzi. Hivi Chama na Musonda wana Kiwango cha kuitwa National Team sasa?

    Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC Kibiashara na Kimichezo na kwa Kitendo cha Kocha wa Timu ya Taifa za Zambia kuwaita Wachezaji...
  8. JamiiForums Tanzania Akili Pekee Haitoshi. Kiwango cha Juu cha Akili ni Ufahamu

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu. Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo...
  9. JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo hupelekea matumizi ya mafuta kuwa mkubwa kuliko kiwango cha kilomita ?

    Ni sababu zipi zinazopelekea kupanda kwa ulikaji wa mafuta?
  10. JamiiForums Tanzania Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  11. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Shomari Kapombe kimepanda tena, Shida ilkuwa nini?

    Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake. Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana. Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli kiwango cha kukosa ajira nchini ni 7.8% kama takwimu za NBS zinavyosema?

    Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho husika limetolewa Feb, 2024. Nauliza hizi asilimia za NBS zinaakisi uhalisia uliopo kwa ground? Kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Tuambie kiwango chako cha kukopeshwa na huduma ya songesha ni shilingi ngapi?

    Leo tuone kiwango chako cha kukopeshwa na songesha ni sh ngapi?
  15. JamiiForums Tanzania Hakikisheni mnaponunua nyumba za watu ndiyo yenyewe na kiwango

    Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook. Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
  16. JamiiForums Tanzania Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

    My friends, ladies and gentlemen! Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho. Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
  17. JamiiForums Tanzania TANROADS Isimamie Miradi ya CSR Ijengwe kwa Kiwango

    TANRODS ISIMAMIE MIRADI YA CSR IJENGWE KWA KIWANGO Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi...
  18. JamiiForums Tanzania TANROADS yaagizwa kusimamia Wakandarasi wanaojenga na kukarabati Miradi ya Maendeleo kwa Jamii (CSR) kujenga kwa kiwango

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
  19. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuongeza kiwango cha usafi kwa Watanzania?

    Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu! Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni Mtanzania? Nitawezaje na huku hao ni ndugu zangu, mama zangu, dada zangu, kaka zangu na watu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Sandhguru anasema inapofika wakati wa full moon mwanadamu anapitia hali ya hulka zake kuwa kiwango cha maradufu pasipo kawaida

    Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo. Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…