kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania kiwanda cha bia TBL kuna tatizo gani?

    bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana? uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

    Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kiwanda hapa kinatengeneza bati za aina ya "Standing seam" ? Picha.

    Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
  4. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Hivi kiwanda cha Konyagi mmeruhusu kuchafua na kuchafuliwa?

    Nimegoogle nikaona konyagi inatengenezwa na kiwanda kinaitwa Tanzania Distillers. Kwa muda sasa kinwaji chenu kimekuwa kikinasibishwa na ndugu Mbowe pale ambapo wahasimu wanataka kumtweza au kumchafua. Anaonekana kalewa kwenye kibonzo na kando yake au mkononi kashikilia chupa ya konyagi. Sijui...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Huenda Dodoma kuna kiwanda cha Toyota /Nissan V8 na hatujui

    Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla Cybertruck imeonekana katika kiwanda cha magari cha BYD China. Wachina wanataka kufanya reverse engineering nini?

    Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa. Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita imeonekekana kiwanda cha Magari cha BYD. Ilianza kwa kupark nje ya parking ya kiwanda na kua...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Moto unawaka ndani ya Kiwanda cha Cotex cha Africana (Dar es Salaam)

    Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu. Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa mbalimbali kwa kutumia plastic pamoja na bidhaa nyingine.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  9. DIFFENDA

    JamiiForums Tanzania Msaada mawasilianobya kiwanda Cha turubai

    Habari. Mwenye kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza turubai za P.E zile nyepesi za blue ninaomba mawasiliano yao. Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijafanimiwa. Asante
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yaipongeza Serikali uwekezaji kiwanda cha Chai Mponde

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa uwekezaji kwenye kiwanda cha Chai Mponde Uwekezaji huo umefanywa kupitia Mfuko wa Fidia kwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa na wazo la kuanzisha na kumiliki kiwanda

    Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka. Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka? Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako. Ajiri wasambazaji; baada...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia ya Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Yaanza Kutekelezwa - Lindi

    AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda...
  15. Darkish

    JamiiForums Tanzania KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI NINI ILI NIWEZE KUFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SIMU ?

    Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
  18. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for sale: Tegeta Mivumoni, nyuma ya kiwanda cha Wazo hill. Sqm 1391

    Eneo linauzwa,liko Mivumoni, Lipo takribani mita 500 kutoka barabara ya vumbi (Mivumoni-Goba njia nne),karibu na shule ya sekondari Mivumoni! Eneo lina ukubwa wa SQM 1391. Ndani ya eneo ilo kuna nyumba ya kuishi yenye vyumba viwili vya kulala pamoja na sebule,pia kuna mabanda manne makubwa...
  19. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufungua kiwanda cha kugandisha barafu feri

    Habari za Mchana Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nipo Bukoka mjini, nafikaje kiwanda Cha Kagera sugar?

    Habar wakuu Niko Bukoba mjini nataka kufika kiwandani Kagera sugar nipeni muongozo ...maana Kuna ishu yakaajira naenda fukuzia uko kiwandani
Back
Top Bottom