kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndugu yangu wa Kiume anaoga baada ya siku mbili, maji yapo ya kutosha. Hii ni kawaida?

    Wadau huenda labda Mimi ni mshamba. Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga Mimi ninachojua inabidi uoge mara moja kwa ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku mbili zipite Mkoa nilipo ni Mbeya, kwa sasa hali ya hewa kuna jua kali kiaina japo mvua ni hizi zinanyesha mara 2...
  2. Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

    Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache? "Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea. Yana ukweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…