kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUONGEE KIUME: Mwenzetu aliletewa watoto wake baa na mkewe...

    Kama una kawaida ya kwenda baa utakuwa unaelewa kuwa hiyo ndiyo sehemu hutokea mambo ya kushangaza zaidi ya sehemu yoyote ile. Nina uhakika ukiwa huko umewahi kushuhudia mzee mtu mzima akiwa amelewa chakari, amevua shati liko mabegani, anacheza wimbo wa ‘chizi karogwa tena’. Lakini...
  2. Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali?

    Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume. Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
  3. Wanawake wafungua saloon za kunyoa mitindo ya kiume

    Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka na pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha wanapendeza. Lakini wanawake wamekuwa wakikosa amani ya moyo (wamekuwa na hofu) pindi wanapolazimika...
  4. Tuongee kiume: Kwanini mipango inayowekwa mwaka mpya haitimii?

    Tunakwenda kumaliza mwaka, vipi nikikwambia kuna mahali sasa hivi yupo mwanaume mwenzetu anakula viapo, anajiambia mwakani naacha pombe, au naacha sigara, au naacha mambo ya wanawake, michepuko na nyumba dogo, au naacha mambo ya kufuatana na marafiki kama mtoto wa sekondari, au mwakani naacha...
  5. Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

    Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
  6. M

    Maamuzi kama haya ya Kiume na ya Kijeshi ndiyo yananifanya nimkubali sana Rais wa Uganda Jenerali Yoweri Kaguta Amos Museveni

    "Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo...
  7. M

    Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

    "Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia. Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
  8. Kuna ukweli gani juu ya mbegu za kiume kitalamu

    Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata zinazokuja nyuma baabada ya zile za kwanza kufyatuka hizi za nwisho mwisho zinazoishirizia ukiingiza...
  9. Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  10. Manara: Kama uhuni huu wamefanya, tumesema Hatuchezi

    Haji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi. ==========...
  11. INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Nasi kupitia namba; WhatsApp number: 0712878245 Suti za kiume(mikoani)...
  12. Nyanya ni tiba Bora ya kuzalisha mbegu za kiume zenye ubora

    Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku wamebainika kuwa na shahawa ambazo ni bora zaidi. Tatizo la uzazi kwa wanaume limeathiri karibu nusu ya...
  13. Watafiti: Maharage aina ya Jesca yanatibu nguvu za kiume, kisukari

    Kituo cha Utafiti Uyole (Tari) kimesema zao la maharage aina ya Jesca licha ya kuongeza nguvu za kiume lina faida zaidi kwa binadamu kwakuwa linatibu matatizo mengi. Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera wakati alipofanya ziara katika Chuo cha Utafiti Uyole, amewataka wananchi...
  14. Aliyeota sehemu za kiume ukubwani aomba msaada

    Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume zilizopelekea sehemu za kike kuzibwa, anaomba msaada wa fedha aende nje ya nchi kuongezwa ukubwa wa maumbile ya kiume, yatakayomwezesha kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto. Kijana huyo...
  15. RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

    RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
  16. T

    Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

    Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi. hii sio kweri kabisa...
  17. Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

    Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja. Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri. Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii, ule uchangamfu unapotea kabisa. Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa...
  18. Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  19. Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  20. Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

    Hello, Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara. Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua kimeachwa kipumue wengine hata viuno viko nje..hizi suruali zilizochanwa chanwa nazo zimeongeza tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…