kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Kuwepo na App nyingi za kukopesha fedha kiuchumi ina ishara gani?

    Wa Salaamu . Hizi app za kukopesha fedha mitandaoni zimekua nyingi mno. Kila ukiingia online ni promotion za app hizo. Kwa wale wataalamu wa kiuchumi hii ni kiashiria gani kimaendeleo? Je hii ni indicator kwamba uchumi unakua kwa kasi au unaporomoka? Naombeni msaada wenu ili nitoe tongo...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  6. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Namba 4: Jikomboe kiuchumi kwa kuweka 15% ya mapato yako. Itakusaidia Uzeeni.

    Habari wanaJF, Leo ni siku nyingine tena. Nimeamka salama, na ninaandika maneno haya kwenye maktaba fulani hivii. Napenda maktaba kwa sababu ya utulivu unaonipa kuwaza na kutia humu. Nilipitia shuleni kwa mtoto, halafu nikala chakula cha asubuhi (viazi na muhogo na uji na karanga). Nimeshiba...
  7. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Jikomboe Kiuchumi Hatua #2 - Lipa Madeni Yako [The Snowball Method]

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi wenye shati nyekundu hapa mzigoni, kitu ambacho sio kawaida). 14/02/2024 (mwaka jana) nilivaa polo hii...
  9. R

    JamiiForums Tanzania IDM ni software muhimu, kwanini watu wengi hata wenye uwezo kiuchumi hawataki kuinunua wapo tayari kuteseka na matoleo ya kuchakachua yanayosumbua

    Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
  10. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Fuata Hatua Hizi 7 Rahisi Kuwa Huru Kiuchumi

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe unaendelea vizuri. (Na endapo kuna mambo hayaendi, komaa tu. Haya ni mapito. Punde msimu utageuza, na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee Malawi hali yao kiuchumi ni mbaya sana

    Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu...
  12. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  14. PathwayzZote

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

    To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ?? Wajuzi mtupe majibu apa Ipi bora kiuchumi wetu Assume umeme hujakatika🙌🏼
  15. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, hutumika kipimo gani kutambua hali ya kiuchumi ya mwananchi mmoja mmoja katika taifa?

    Pita pita zangu katika mitandao nimeona mivutano ya hapa na pale mivutano hiko hivi:- A) wananchi wa Rwanda wanamaisha magumu kuliko wa Tanzania B)hapana wananchi wa Tanzania ndio wako na uchumi mgumu zaidi kuliko Rwanda A) Kenya ndio mambo safi zaidi, kwanza pesa yao iko juu na inathamani...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mavunde Awawezesha Kiuchumi Wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba Jijini Dodoma

    ▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi. ▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi ▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini Dodoma 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kuwaendeleza kiuchumi...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
  18. Rule L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ipi sababu ya msingi inayopelekea watu waliojipata kiuchumi kuachana???

    Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya. Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana??? Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri kiuchumi huachana ila si kwa ukubwa kama ilivyo kwa waliojipata. Watu wanaweza kuanza maisha wakiwa...
  19. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi: Faida za Kamari ni Zipi?

    (1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu. (2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo kupanua pengo baina ya masikini na matajiri. (3) Hutengeza maskini wengi sana kwenye jamii na kupunguza...
  20. Tman900

    JamiiForums Tanzania Familia/ mtu binafsi zenye nguvu kiuchumi

    Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana. Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha. Watu walio Wengi wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya uchumi ila unapokua huru kiuchumi mambo yanakua safi kabisa.
Back
Top Bottom