kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwananidi: Serikali kuwasajili bodaboda rasmi kuwawezesha kiuchumi

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum Mwananidi Ali Khamis amesema Serikali imeanzisha mchakato wa kuwasajili madereva wa vyombo vya magurudumu mawili, maarufu kama bodaboda, katika mfumo maalum ili waingizwe katika utaratibu rasmi kwa ajili ya kuwawezesha...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi

    Tanzania Afrika Kusini Zakubaliana Kushirikiana Kiuchumi Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  4. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kujitathimini huko kundi lipi kiuchumi?

    Kwa wale ambao hatukuogopa umande unamkumba Bwana Carl Marx? Yaani leo nimemkumbuka huyu jama alikuwa geneous. Makundi yenyewe matano na mifano hai ni kama ifuatavyo: 1. Lumpenproletariat Hili ni tabaka la chini kabisa, halina kazi ya kudumu, mara nyingi linaishi kwa shughuli haramu au zisizo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tumedhamiria kuwainua kiuchumi wachimbaji wadogo

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeamua kuwekeza kwenye sekta ya madini ili kuwawezesha wachimbaji wadogo kupata kipato na kujikwamua kiuchumi. Amesema Serikali imenunua mitambo 15 ya kisasa ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  7. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya ELEMENTS za watu waliofanikiwa KIUCHUMI lakini HAWAJIONESHI. Soma hadi mwisho kisha jitathimini wewe binafsi uko wapi?

    1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao. 3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzana – Ukraine kuongeza ushirikiano wa kiuchumi

    TANZANA – UKRAINE KUONGEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ukraine zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo kilimo, biashara na uwekezaji, viwanda, utalii, elimu na afya kwa maslahi ya pande zote mbili...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania China amerestrict uuzaji wa rare earth metals kama sehem ya vita ya kiuchumi aliyoianzisha trump-hii ndo sehemu Tanzania ya kusimamia

    Tumeona china ama-restrict uuzaji wa rare earth metals kwa nchi zote dunia sio marekani tu kama mtu anayepigana naye vita na haya ni maoni yangu ambayo yatakuwa na faida kwa nchi kama yakifanyiwa kazi Mfano wa rear earth material zilizopo Tanzania neodymium praseodymium
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo. Tareh 19 Machi 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana kwa Mazungumzo na Waziri wa Uhamiaji wa Sweden Mhe. Johan Forssell. Katika mazungumzo hayo viongozi hao...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi Kata ya Kalembo, Ileje

    JULIANA SHONZA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA KALEMBO, ILEJE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kalembo Wilaya ya Ileje kwa lengo la kuendelea kuwainua kiuchumi wanawake kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji...
  15. KingPower

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wenu, Nimekamatika kiuchumi.

    Wakuu Habarini,! Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua, Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second, Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana, Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama, Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu...
  16. Now and then

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Faida ya kiuchumi ya kufungua maabara binafsi ya magonjwa ya binadamu

    Wakuu nina mpango wa kufungua maabara yangu je nitegemee kupata faida gani Kwa siku?
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo

    Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Martha Mariki awaasa Wanawake kutumia fursa za mikopo ya 10% kujikwamua kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa la Marekani limebarikiwa sana kiuchumi na kiteknolojia? Sababu hii hapa

    Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa...
Back
Top Bottom