kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mara mashariki mwa popote panaonekana kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, njia muhimu za biashara au vituo vya nguvu za kiuchumi?

    Kuna jambo la kijiografia ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa muda. Ukiangalia ramani ya dunia, maeneo mengi ya mashariki yanaonekana kuwa na mchanganyiko wa utajiri mkubwa wa rasilimali na migogoro mikubwa kuliko maeneo mengine.Mashariki ya Kati ina mafuta na gesi nyingi kuliko maeneo mengi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AIPA NCHI HESHIMA KIUCHUMI

    ✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada. ✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9 ✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jiandae mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yanakuja duniani kati ya sasa na kuendelea

    Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu awaye yeyote yule. Ni upendo mkubwa sana wa Mungu kuwa hutujulisha wanadamu yale...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha utegemezi kiuchumi Tanzania kinatisha, ni janga

    Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi ! Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Tshs bilioni 200 kuwawezesha Vijana Kiuchumi hadi Aprili 2026, Tshs 52.6 zimeshatolewa

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
  7. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

    Mambo ya kufanya miezi 6 iliyobakia ili kufikia malengo yako • Chukua uwajibikaji wa 100% juu ya maisha yako. Acha kabisa kujitetea na kulalamika. • Tumia muda ukiwa peke yako, soma, andika na jione ukitimiza ndoto zako. • Kata mahusiano yote yenye sumu na yanayokuvuta nyuma. • Fanya amani...
  8. gonya

    JamiiForums Tanzania Data Science: Nguzo mpya ya maendeleo ya kiuchumi Tanzania na Duniani

    Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya kijamii, au hata kutazama video mtandaoni, unazalisha data. Data hii, ikiwa itachambuliwa vizuri, inaweza...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Athari za Kiuchumi Oktoba 29,2025

    Tume ilibaini kwamba sekta ya elimu iliathiriwa kiuchumi pia, hasa shule za binafsi ambazo zilipoteza mapato ya ada wakati shule zilipofungwa. Walimu wa shule hizo hawakupata mishahara yao, na familia zilizowaongoza watoto wao kwenye shule za mbali zaidi pia zilibeba gharama za ziada za...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa Kiuchumi Baada ya Uchaguzi 2025 Wafichuliwa

    Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uharibifu Miundombinu Wasababisha Hasara Kuu Kiuchumi

    Uchumi wa maeneo mengi ulidorora pakubwa. Biashara zilifungwa, mapato yalipungua na ajira nyingi zilipotea. Tume ilibaini kuwa uharibifu wa miundombinu ulisababisha hasara kubwa ya kiuchumi kwa taifa kwa ujumla. #AmaniNaUwajibikaji #TumeYaUchunguziReport Sauti Ya Wananchi
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mkakati wa Kiuchumi Watikisa EAC

    HUYU MAMA(RAIS SAMIA)NI MTU HATARI SANA! George Michael Uledi. May 6,2026.12:10AM. (ON EMBARGO) Mara nyingi nyota ya mtu inabeba tabia zake za ndani za "kiungu" ambazo umtofautisha na mtu/binadamu mwingine katika dunia hii.Biblia inasema kwenye KITABU cha Zaburi👇🏽👇🏽 Zaburi 147:4 na Ayubu 9:9)...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali imetenga Sh Bilioni 200 kuwawezesha Wananchi Kiuchumi

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kufilisika Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi ni Fedheha sana katika jamii ndugu zangu wadau wa JF

    Ushuru wa Crown tu unamshinda kulipia mtu aliewahi kua mbunge na badala yake anapiga mayowe na makelele mitandaoni? Kuna anachoweza sasa kama kiasi kidogo tu kinamshinda kulipa? Asijifiche wala kuwasingizia vijana, alipe kodi na ushuru bana mambo yaishe. Hivi alipokua mbunge, anatembelea V8 ya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi

    Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje na Maendeleo ya Kijamii na Familia wa Singapore Mhe. Zhulkarnain...
  19. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

    Naungana na ndugu yangu Equation x .Mwanaume kuchepuka kuna faida nyingi sana kiuchumi. Embu fikiria leo hii wanaume kwa umoja tukakubaliana hakuna kuchepuka kila mmoja atulie na mpenzi/mke wake, nini kitatokea. - Wanawake wengi sana watashindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu - Wanawake...
  20. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania SGR kuvuka mipaka: Mawaziri wa Tanzania, Rwanda na DRC wakutana kuweka mustakabali mpya kiuchumi

    https://youtu.be/03vJQKnKpZ4
Back
Top Bottom