kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jana Nimepanda Daladala la London nikapitishwa Kituo

    JANA NIMEPANDA DALADALA LA LONDON NIKAPITISHWA KITUO. Anaandika, Robert Heriel kijana Chakaramu. Yagayagayagayaga! Wazimu ukanipanda, ukanisonda nikahisi kukonda, niilikuwa zangu nimesimama stend ya Daladala huko katikati ya jiji nikiwa nimechoka, Kwa kweli shughuli za jiji hili zilinichosha...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma: Waomba wauzike mwili wa rafiki yao anayedaiwa kujinyonga kituo cha polisi

    Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea? ======= Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike. Kifo cha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

    Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinanikwaza Kama matangazo kwenye kwenye post

    Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza. Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu. Naumia Sana...
  5. JamiiForums Tanzania Abiria kulazimishwa kuteremka Kituo cha Mbezi tuliambiwa Wafanyabiashara walilalamika kukosa wateja, leo mmh!

    Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja! Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto za kituo cha Mabasi cha Magufuli Mbezi

    Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki. Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kupeleka kituo cha afya Chato

    Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya. My take: Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Ukitaka uwazi katika uwajibikaji wa Polisi ruhusu wawe wanarekodiwa na Raia hata ndani ya kituo cha polisi

    IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye vituo vya kazi

    Habari. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE KASULU MJINI. Idara : SEKONDARI
  10. JamiiForums Tanzania Propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta

    Poleni na mihangaiko, Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta. Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie. Ahsanteni.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Nairobi: Ruto ashinda Kura kituo walichopiga Kura familia ya Uhuru Kenyatta

    Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameshindwa kumbeba mgombea huyo katika kituo alichopigia kura. ====== Licha ya Rais wa Kenya...
  12. JamiiForums Tanzania Moshi: RPC afafanua vielelezo vya wizi kuibwa Kituo cha Polisi na Askari Polisi kuchangishana kumlipa mwenye mali

    Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho. Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    (Pichani ni mwana anga Wa NASA) Utangulizi maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya. Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kituo gani kizuri kwa Dar es salaa kinafundisha A-level(form 5&6) kwa mwaka mmoja.

    Wadau wa Elimu kwa Dar es salaam kituo kipi kinafundisha vizuri masomo ya A-level (form 5&6) kwa mwaka mmoja.
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Urusi kuikomboa Luhansk, kituo kinachofuata ni Donetsk?

    Baada ya vikosi vya jeshi la Urusi kufanikiwa kuikomboa Luhansk kutoka mikononi mwa jeshi la Ukraine; taarifa zilizopo zinaeleza kwamba vikosi vya Urusi vimeanza kuielekea Donetsk na gavana wa eneo hilo ameomba raia waondolewe haraka ili kuacha uwanja wazi kwa vikosi vya Ukraine kuweza...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera

    Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza. Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa na kituo kikubwa kwa Handeni kitakuwa Msomera. Hii itasaidia wawekezaji zaidi kwenda Msomera na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

    Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA. Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
  20. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Kituo cha mbegu za kutoka anga ya juu chazalisha mbegu zilizoboreshwa za mboga na matunda

    Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu. Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…