kituo cha polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  2. J

    Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
  3. Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

    Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo. Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
  4. Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

    UPDATE: August 22, 2024 KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi wakiwa chini ya uangalizi wa maafisa wawili wa polisi waliokuwa zamu usiku Idadi ya Wafungwa ni 13...
  5. Morogoro: Rais wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson na msaada wa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 26 Julai, 2024 alitoa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Ching'anda Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya...
  6. Katoro -Geita kupatiwa Wilaya ya Kipolisi na kujengewa Kituo cha Polisi

    Serikali imesema itaupatia Mji mdogo wa Katoro Mkoa wa Geita Wilaya ya Kipolisi na kuujengea Kituo kipya cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuimarisha Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati wa ziara ya Katibu...
  7. R

    Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

    Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi 1. Ametembezwa mikoa 10 2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days 3. Ameteswa kishenzi 4. Amevunjwa vidole 5. Mlo mmoja per day etc etc etc --- HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭 Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu...
  8. Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashutumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde

    Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi. Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu...
  9. KERO Ubovu wa barabara Wilaya ya Temeke; Barabara kutoka Kituo cha Polisi Chang'ombe hadi Buza ina mashimo 46!

    Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
  10. Kwanini kituo cha polisi cha Oysterbay? Natilia shaka matumizi ya kituo hicho

    Kituo cha polisi cha Oysterbay tofauti na vituo vingine mara chache sana kimekuwa kikitoa kesi za vibaka , uhalifu nk. Lakini kila aliyetekwa na kupotezwa amepita kituoni hapo either kwa siri au kwa uwazi. Sio story ya Sativa tu kuna story nyingine nyingi za watu kutekwa na kuonekana nje ya...
  11. Magaidi wavamia makanisa mawili ya Orthodox, sinagogi na kituo cha polisi huko Urusi

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇷🇺Mapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa. - Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan, -Gari la doria linawaka moto kwenye Mtaa wa Ordzhonikidze. -Mashambulizi ya silaha yalifanywa kwa makanisa mawili ya Orthodox...
  12. Huduma katika Kituo cha Polisi Oysterbay ziboreshwe

    Utakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara. Sehemu yenyewe haina Mabenchi ya Kukaa Ni njia ya Vumbi Hakuna Kikinga mvua wala jua. Wizara ya mambo ya Ndani na Jeshi la polisi, jirekebisheni kwa hili.Mana nawaza kama Oysterbay...
  13. Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili...
  14. Polisi yawashukuru Wananchi waliofanya maboresho ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi Hayo...
  15. M

    Kwa nini mtu aliyekamatwa akiwa mzima afie katika kituo cha Polisi?

    Tujadili kidogo
  16. Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es...
  17. Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga

    Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi. Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
  18. Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha. Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
  19. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Polisi Ilula Iringa. Kuna viashiria vya RUSHWA kukithiri na kusababisha ucheleweshwaji wa huduma

    Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024. Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba. Nikarejea nyumbani kwaajili ya mazishi ya baba na taratibu zingine ikiwemo ufatiliaji wa hati ya...
  20. Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limelazimika kurusha mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Magugu waliokuwa wanataka kuchoma kituo cha Polisi kwa madai ya kumtoa mhalifu aliyedaiwa kubaka mtoto wa miaka sita kisha kumchinja Baada ya mtuhumiwa kuokolewa na Polisi na kupelekwa kituo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…