kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  2. JamiiForums Tanzania Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea. Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani kwenye treni hii ya kisasa?

    Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa! Muonekano wa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

    Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare. Ila...
  7. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni taasisi ambayo kabla hujaingia unakuwa na matarajio makubwa yaliyojaa furaha kutokana na jinsi...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa. Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya macho kuwasha

    Naelekea duka la dawa. Nikanunue dawa gani na bei ikoje? Usiniambié habari za kwenda hospitali, we taja dawa. Wengine tuliiba mashuka ya hospitali tukienda tu tunazua taharuki.
  10. JamiiForums Tanzania Déjà vu: Umewahi kuwa sehemu, au kufanya kitu ukahisi ulichofanya au mazingira ya hapo kwa muda huo yamejirudia kabisa?

    Hiyo hali inaitwa déjà vu, Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi: Theory mojawapo inaeleza kwamba, Namna ambayo ubongo huhifadhi kumbukumbu, mfano kuna jina unalijua limehifadhiwa kwenye ubongo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinasababisha usiku mitandao ya internet inakuwa na spidi ya konokono?

    Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  13. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

    Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  15. JamiiForums Tanzania Licha ya mapungufu ya Mayele ila pale Yanga kuna kitu hakipo sawa

    Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu. Morrison Feisal Mayele Bangala Shaban djuma Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu. Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina...
  16. JamiiForums Tanzania Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    “Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania” Fiston...
  17. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua ukweli?

    Madalali kabla ya kukupangisha chumba/nyumba huwa na maneno mengi mazuri ili utoe pesa, maneno mengine huwa ni uongo pia. Ni jambo gani ulidanganywa na Dalali halafu baadae ukagundua kuwa alikudanganya baada ya kulipa hela ya Kodi?
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

    Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto. Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
  20. JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu?

    Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel. Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali ya mapambano kudai haki yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…