kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi dhidi ya Lissu ni kesi dhaifu sana, Jamhuri ondoeni hii kitu kabla hamjapata aibu

    Kesi dhidi ya Lissu imejikita kwenye dhana kuwa ametoa kauli ya 1. Kuhamasisha uasi 2. Kuzuia uchaguzi 3. Kukinukisha. Makosa yote hayo ni abstract, hayana legal stand na ni vigumu kwa Jamhuri kutengeneza kesi ya maana. Sanasana inaenda kumdhalilisha SSH, Polisi, Mwendesha Mashitaka na dola...
  3. JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna peponi, hawa watu weupe wanavyotuchukia wangeleta kweli kitu kinaitwa dini ili twende nao huko peponi?

    Dini zipo nyingi sio uislamu na ukristo tuu kabla ya watu weupe kuja africa tulikua tunaabudu mungu kupitia dini gani?? Mungu si yupo tuu kabla hata ya hizi dini za watu weupe kuja? Hizi dini mpya za kikoloni ni utapeli (mungu yupo) ila tafuta namna ya kumuomba kama mababu zako walivyofanya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumbo ni kitu kibaya sana

    Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama...
  5. JamiiForums Tanzania Maskini! Lissu na Magufuli waligombanishwa na kujikuta wakiwa kwenye vita kubwa. Wakati wangetakiwa wawe Kitu Kimoja. Nafikiri nchi ingekuwa imeula!

    Mpo salama! Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote. Kuna Wazalendo wapo CCM. Kuna Wazalendo wapo CHADEMA Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani. Na kuna Sisi Wazalendo ambao hatuna chama. Ni kosa la kiufundi na ninyi Mjinga pekee ambaye atafikiri chama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mliofunga centrifugal pumps kwenye matenki yenu mnisaidie ufafanuzi wa hii kitu

    Kwenye hizo picha nimeambatanisha utaona baada ya kuconnect hiyo pump jamaa anamimina maji kwa juu kwenye bomba lililosimama. Naomba kujua umuhimu wa kufanya hivyo. Na pia kuna haja gani ya kuwa na hiyo pipe inayoishia halfway. Kwani pakiwa na connection ya inlet pipe na outlet pipe pekee hazitoshi?
  7. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa akisema kitu ni kweli au kinakuwa

    Kwa mfano akisema wewe ni demu...kweli wewe ni demu na kama ulikuwa man unageuka kuwa demu kabisa. Mtagombana naye utajikuta unaanza andika kama demu au unamtukana kama demu. Nimeona akiwasema watu wawili humu kuwa si mademu jamaa kadri wanavyojitetea kuwa wao si men ni mademu ndo...
  8. JamiiForums Tanzania Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  10. JamiiForums Tanzania 4BEDROOMS GOROFA KALI SANA WITH TERRACE AT TOP MTEJA KAONA POST HAPA HAPA NA SISI TUKAMTOLEA KITU +255624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650 TUNAPATIKANA DSM SINZA
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

    Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii. Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii? Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu? Ukifika...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
  14. JamiiForums Tanzania Nimerudi nimekuta mke kaondoka na kila kitu

    Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?

    Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?" Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka" Wewe je?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Never say never, kitu gani uliwahi kukiona sio hadhi yako ukajiapiza hutokifanya ila ukaja kukifanya

    Katika haya maisha kuna vitu huwa tunajiapiza hatuwezi kuvifanya kwasababu tunahisi sio hadhi zetu au vinatutia kinyaa lakini baadae tunabadili msimamo. Baada ya kumaliza degree nilijiapiza sitakuja kufanya kazi zisizo za ofisini, msoto ulinisugua bila mafuta, njaa inauma, nilianza kusaka...
  17. JamiiForums Tanzania Unahitaji nini kutoka South Africa?

    Unahitaji nini kutoa South Africa? Branch zetu. Kamaha-Mkaba na Soko la Madi. Dar- Tunapatina Ilala. Shinya-Majengo Mapya jirani na Liga Hotel. Next-Mwanza. Njia za naweza lipia nikama PayPal Bank Lipa Kwa Simu Wala Wala CRDB Kama uko serious nicheki whatspp.Kama uko kahama nenda tume ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania TUWE NA UWAZI KWENYE KILA KITU TUNACHOFANYA KUELEKEA UCHAGUZI 2025

    Ninaomb a sana tuwe na uwazi katika kila jambo tunalolifanya kuelekea uchaguzi wa 2025. Tuige nchi ya jirani yetu ya Kenya ilivyo na uwazi kwenye masuala ya uchaguzi. Leo kule Kenya waombaji wote walioomba nafasi ya Mwenyekiti wa IEBC wanahojiwa mubashara (Live) kupitia luninga ya Citizen...
  19. M

    JamiiForums Tanzania YANGA NAO WATATENGENEZA KITU CHA KUAHIRISHA MECHI

    Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya game wao wanaweza kwenda mazoezini na coaster moja movu wakalitupa mtaroni siku moja kabla ya mechi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…