kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unataka kuingia kwenye biashara za pikipiki pita hapa ujifunze kitu

    MIEZI 3 KWENYE BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE Salamu, Baada kuiwazia sana biashara hii nikaona si vibaya nikaweka vimillioni kadhaa ili nione kama kweli iko kama isemwavyo, si unajua utamu wa ngoma....... Kituo cha kwanza nikatinga wizara ya JF ili kupekua makaburasha...
  2. JamiiForums Tanzania Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

    Januari 10, 2014, historia ya televisheni nchini Tanzania ilibadilika kwa kuzinduliwa kwa kituo kipya cha TV1, kupitia StarTimes Channel nambari 103. Ikiwa sehemu ya kituo cha Viasat 1 kutoka Ghana, TV1 iliingia sokoni kwa kishindo, ikibeba ahadi kubwa ya kubadilisha jinsi Watanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Askari Magereza wakiimarisha Ulinzi leo wakati kesi ya Lissu iliposikilizwa

    Wakuu, Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana? Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

    Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status? Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

    Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu...
  6. JamiiForums Tanzania “Vipi kama Mungu angekupa siku 3 kuwa na nguvu zake na kuchukua udhibiti wa kila kitu kabisa? Ungefanya badili nini

    For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote ◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao ◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia. Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
  7. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna kiu/dhana mapenzi

    Kataa ndoa wapo sahihi miaka dahari.Asubuhi ya leo nimeamka na tafakuri kuhusu dhana nzima ya mapenzi na mahusiano. Katika tafakuri yangu nimeona ya kwamba neno mapenzi lipo kisiasa zaidi lakini hakuna binadamu anaweza kulitenda ipasavyo. Mwenye kupenda ni Mungu maana Mungu atakupenda kwa...
  8. JamiiForums Tanzania FREM KUBWA YENYE MOVIE LIBRARY NA KLA KITU INAUZWA MBEYA[NZOVWE],TANZANIA

    Sold
  9. JamiiForums Tanzania Kauli hii ya wanawake "Nimempa kila kitu still kaniacha"

    Hii kauli inayotumiwa na wadada "nilimpa kila kitu still akaniacha"haiko sawa, unakuta hio kila kitu ni mapenzi(papuchi) tu 😁.
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa naye zaidi ya miaka 4 leo kanionyesha kitu kipya

    Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna sehemu kajifunza nahisi itakuwa ni mtandaoni. Maana naona kama movie hivi ila ndo ukweli wenyewe hivo...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  12. JamiiForums Tanzania Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  13. JamiiForums Tanzania Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja duniani. Hujawahi kuikumbuka wewe mwenyewe, lakini unaishi kuiamini kwa moyo wako wote. Hujawahi kuhoji...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Bodaboda wanashindwa kubeba kitu gani?

    Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
  15. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Azam fanyeni utafiti kabla kuongea kitu

    Jana nilikuwa namuangalia Patric Nyembela, mtangazaji wa azam akimuhoji Ahmed Ally, kwenye night gala ya Chan. Kwenye mahojiano hayo, alifanya rejea kwamba kuna mtu mmoja huko Iraq alikuwa na kauli ya vituko sana, na akamtaja mtu huyo kuwa ni Chemical Ally, sio sahihi. Chemical Ally alikuwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

    Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi Kibori Nangai naamini hadi leo January Makamba na Stephen Biabato wakiwa mawaziri kuna kitu walifanya

    Mimi binafsi Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee . Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
  18. JamiiForums Tanzania Samson Charles wa EATV kitamkuta kitu. Sidhani kama misimamo yake inapendwa na watawala. Ni vizuri mumshauri.

    Wenzie kimeshawakuta kitu. Uanfishi wa habari wa kiuwanaharakati hauwavutii wenye mamlaka. Ni vizuri achague moja. Uwanaharakati kamili au kuendelea na utangazaji. Ni wazi anaipinga serikali.
  19. JamiiForums Tanzania Anazindua kitu asichokua nacho uelewa wowote, Wameshindwa hata kumpa ABC, anajikuta anauliza maswali yasoendana na alichozindua!!

    Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
  20. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…