Naulizia machinjio ya kitimoto Jijini Dar es Salaam

Naulizia machinjio ya kitimoto Jijini Dar es Salaam

Yapo kibao, karibu na Chuo kikuu upande wa chini, na magengeni Bulumaww
 
sijui nani atachinja kitimoto.??
We acha masihara kwani wanaochinja siku zote mpaka wanafanya fujo wameisha au
1000314568.jpg
 
Subiri mfungo utakuwa walaji waziri WA kitimoto na lodge
 
Back
Top Bottom