kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Huwezi kumuelewa Padre Kitima mpaka ukutane nae

    Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za...
  2. Sifi Leo

    Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
  3. Mindyou

    Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  4. Cute Wife

    Kitima akitambulisha viongozi wa sasa na wastaafu msiba wa Pengo

    Wakuu, Kitima ametambulisha viongozi wa sasa serikalini pamoja na wastaafu, shangwe la majaliwa sio la nchi hii
  5. Mindyou

    Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  6. K

    Sarakasi za Fr. Kitima na Maoni ya watu kwenye Msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina! Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo. Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
  7. R

    Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

    Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo? Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba. Msiwasafishe kwa ya 29/10. Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
  8. R

    Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  9. Heparin

    Padri Kitima: Wakatoliki tuna sheria nzuri sana, ukitaka kumtuhumu Kitima anzia kwa Paroko. Ukianzia kwa Papa utarudishwa kwa Paroko

    Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema: "Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
  10. K

    Watu mna Siri Sana Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi

    Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
  11. K

    Tetesi: Script imeshaandikwa tayari wale ‘waliomshambulia’ dada fake wa kikatoliki wamekamatwa

    Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake. Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa...
  12. gallow bird

    Sheikh mwaipopo adai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia

    Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana! NB: Modes acheni kufuta nyuzi...
  13. upupu255

    POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  14. Allen Kilewella

    Inayowindwa ni CHADEMA siyo Fr Kitima

    Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima. Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi ya Kitima bali ni vita dhidi ya CHADEMA. CCM kwa sasa ni heri wabakie na wanyonya damu kuliko...
  15. Inside10

    Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
  16. W

    PostGE2025 Askofu Kyando: Wanaotaka kumshtaki Kitima wanataka umaarufu, uchawa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao. Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
  17. M

    Aliyemshitaki Padri Kitima kwenye ubalozi wa Vaticani anasaligi Parokia gani?

    Swali langu ni hilo tu tumjue huyu Lofa anasaligi parokia gani, tupate uhakika ni muumini mwenzetu au ni pandikizi?
  18. Q

    Ujumbe wa Fr. Kitima kwa wanaotaka aondoke TEC, 'Wasubiri, labda nife leo, bado nina mwaka na nusu'

    "Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima. "Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu...
  19. Huihui2

    Pope Leo XIV: Dini ziepuke kutumia imani kuhalalisha vurugu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao. Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne...
  20. Fbn

    Kuna mada hapa JF haikupewa kipaumbele ila Kitima alipoeleza mmeelewa

    Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi. Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara...
Back
Top Bottom