kitambi

  1. T

    Je, ni kweli kitambi kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?

    Mandela Katto anahoji kuwa kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?
  2. Lord Denning

    Hitimisho: Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili. Ndo mana wamegeuzwa kuwa machawa wa CCM.

    Nimekuwa nikijiuliza sana imekuwaje hawa jamaa wamegeuka ghafla kuwa machawa wa ccm na wapumbavu kupindukia? Badala ya kusimamia maslahi ya wananchi na Taifa sasahivi wanasimamia maslahi ya CCM? Ila sasa nimepata majibu. Angalia mwenyewe! Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili. Askari wa...
  3. N'yadikwa

    Sina kitambi miaka 10 ila baada ya kunywa dawa za minyoo hichoo

    Wadau nimestushwa sana. Baada ya kunywa dawa za minyoo ziitwazo zantel wiki tu nimeota boonge la ndambi, jf doctor msaada tutani
  4. IlakozeOnline Tv

    Kuunguza unene na kitambi

    Dawa pekee ya kuchoma tumbo lako liwe tambarare.. Utachoma mafuta ya tumbo ndani ya wiki 2. Katika kikombe cha maji ya moto ongezea maji ya limao nusu, kijiko cha chai cha pilipili manga , tangawizi kijiko kimoja cha chai , turmeric yaani binzari manjano kijiko kimoja cha chai..kijiko kijae...
  5. Vanclassic

    Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

    wakuu kama heading inavoeleza apo. naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki kwanini sasa nataka...
  6. Dogoli kinyamkela

    Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni

    Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
  7. Mshana Jr

    Ubunifu: Mixer ya matunda kwa ajili ya kupunguza uzito na kitambi

    Yanasaidia pia kuboresha ngozi, hamu ya kula, nguvu za mwili.. Mmeng'enyo wa chakula nknk
  8. kimara Kimara

    Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  9. Mkulungwa01

    Kilio changu ni kitambi

    😭😭😭 Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno. Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini. Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi Naumia mno, naona sitendewi haki. Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu. 😭😭 Wanawake mbona mna makusudi...
  10. USSR

    Parade la kifalme london: hakuna askri mwenye kitambi kama makomandoo wa tanzania

    Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa USSR
  11. kavulata

    Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  12. Arnold Kalikawe

    Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

    Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
  13. GoldDhahabu

    Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
  14. Mjanja M1

    Video: Kitambi ni chako

  15. JanguKamaJangu

    Namungo FC yatangaza kuachana na Kocha Denis Kitambi

    Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu. Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi katika safari yake ya ukocha nje ya Namungo Fc.
  16. S

    Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  17. OCC Doctors

    Tumekuwekea hapa namna magonjwa mbalimbali yanavyo ibuka kitaalamu kutokana na Obesity

    Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye ini. Mafuta pia hujilimbikiza kwenye seli za misuli. Ambapo sasa kunaanzishwa ukinzani dhidi ya...
  18. anti-Glazer

    Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  19. Analogia Malenga

    Kwa Sh4 milioni unakata kitambi, nyama uzembe

    Dar es Salaam. Wakati baadhi ya watu wakijinyima kula, kutumia dawa za asili, za kisasa na kufanya mazoezi ili kupunguza vitambi na uzito, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Mloganzila) imekuja na njia salama ya kuwawekea puto tumboni wenye matatizo hayo kwa Sh4.2 milioni. Tayari watu wameanza...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kitambi kimeharibu muonekano wangu, wadada hawanitaki tena

    Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia. Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi? Six pack sio kwamba...
Back
Top Bottom