kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya Kutengeneza umoja wa kitaifa Bila migongano!

    UTANGULIZI Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa kiongozi wa Kitaifa kwanini lazima uwe makini na ulimi wako kutunza siri

    Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma Tahasusi ya PCM wazidi kuongoza kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita 2022

    .....
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Wasabato Wanatengwa kwenye Shughuli za Kitaifa?

    Nijuavyo mimi, katika nchi hii wapo watu ambao huabudu siku za Ijumaa, wengine Jumamosi na wengine Jumapili. Ukifuatilia mikutano mingi ya kisiasa utagundua wanaopewa kipaumbele ni Wanaoswali siku ya Ijumaa na wanaosali siku ya Jumapili. Wanaosali jumamosi nimewahi kuona kama mara 2 hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua mwenyekiti wake kitaifa, Bola Tinubu kugombea Urais wa nchi hiyo

    Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar kumrithi Rais Muhammadu Buhari katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023 Katika kura za mchujo Tinubu (70)...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hizi timu za mpira zinakubeba jimboni ila zitakugharimu kitaifa

    Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui. Unafanya kitu kizuri ila kitakucost. Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu. Huku mtaani watu wanachuki na wewe kutokana...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

    Yaani tu yaani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais kutokupokelewa na Rais mwenzake: Tutofautishe kati ya State Visit (Ziara ya Kitaifa) na Working Visit (Ziara ya Kikazi)

    Tutofautishe kati ya work visit na State visit!! State visit (safari ya kitaifa) lazima ukaribishwe na mkuu wa nchi!! Unapewa heshima zaidi na mapokezi yake yanafanywa na mkuu wa nchi, inaweza kuambatana na kupigiwa mizinga 21 na mwisho wa siku hupewa zawadi kama ukumbusho wa ziara hiyo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa 2022, leo Mei 19, 2022

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo niliona viongozi wakifurahi katika shughuli za kitaifa, kumbe wanafurahia posho sio uzalendo

    Aisee nilikuwa sipo sahihi, nilidhani viongozi wanapenda nchi yao Hadi nikawa inspired, toka nipo msingi shule tunaitwa na walimu tushiriki shughuli za viongozi, mama anawaandalia mihogo asubuhi nyumbani muende uwanjani kushiriki. Nilichogundua kumbe wakubwa wanalipwa posho kubwa sana kushiriki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tatizo la Mataifa yote sio Tanzania pekee

    USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji Texas in $4.25 kwa Lita 3.7 au gallon moja. Hivyo ni lazima tujue hili sio tatizo la Tanzania pekee...
  16. JamiiForums Tanzania Canossa (Mshindi wa 5 kitaifa, form IV 2018) kuwa shule ya kuigwa kwenye matumizi ya teknoloja ya ufundishaji

    Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China yaadhimisha Siku ya Vijana Kitaifa ya Mei 4 ikiweka kipaumbele zaidi kwa vijana

    Vijana ni hazina na nguzo muhimu inayotegemewa na taifa lolote lile duniani. Nchi inapaswa kuweka kipaumbele na kutoa fursa kwa vijana ili waweze kuonesha uwezo wao wa kulitumikia taifa. Tangu enzi na dahari inajulikana kuwa vijana ndio chachu ya uzalishaji, ulinzi wa taifa, siasa, ubunifu na...
  18. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma. Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Mitihani ya kitaifa ya Ualimu kusahihishwa kidigitali

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, leo Aprili 18, 2022 amekagua na kuridhishwa na majaribio ya Mfumo wa Kidijitali wa Usahihishaji Mitihani ya Kitaifa ya Ualimu ulioandaliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi na kujionea...
  20. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maktaba ya Kitaifa ya Kenya yaandaa shughuli za lugha ya Kichina

    "Ni maua ya kupendeza ya asumini, yanachanua na kutoa harufu nzuri na kuwavutia watu..." Tarehe 8 Aprili katika Maktaba ya Kitaifa ya Kenya jijini Nairobi, mhitimu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Nairobi alikuwa akifundisha jinsi ya kuimba wimbo wa Kichina "What a Beautiful...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…