kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

    Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria. Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.
  2. JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Watendaji wa Wizara za Fedha, Uwekezaji na TRA kujadili Masuala ya Kitaifa

    Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango, Uwekezaji, Viwanda na Biashara, TRA, na Katibu Mkuu Kiongozi. Rais Samia Suluhu anahakikisha anatimiza lengo lake la kuwainua wafanyabiashara wa Tanzania kiuchumi na sio kuwadidimiza Hongera sana Mama kwa kuwajali...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023, Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze imezinduliwa bila kipingamizi chochote na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa

    CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?. Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani. Miradi yote iliyokaguliwa Chalinze...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

    Habari JF, Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli. Aina ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

    Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano. Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  9. JamiiForums Tanzania Napendekeza sherehe za kidini zisizofahamika tarehe zisiwe za kitaifa na Serikali isizitambue

    Sherehe yeyote ya kidini ambayo inatambulika kwamba ni sikukuu na serikali inaitambua basi inapaswa tarehe yake tuifahamu. Hii itasaidia serikali kupanga ratiba zake ku-accomodate shughuli husika kwa siku husika. Hii uncertainity inasababisha bughudha kubwa sana hata kwa wasio husika, vipi na...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

    Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya. Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
  12. JamiiForums Tanzania "Block farming" ni agenda ya kitaifa au ni agenda ya CCM Awamu ya Sita?

    Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi. Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa safi itatokana na uzalendo wa kitaifa wa wanachama na siyo matakwa ya wenye Chama

    Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari. Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna kile walichokimis ambacho kimsingi kwa sasa wanapaswa kukitarajia. Hii hali ni hatari katika siasa...
  14. JamiiForums Tanzania Uongozi wa kitaifa, unafanya kazi chini ya kiwango?

    Nimeshangazwa kama si kugutushwa na sababu ambazo Mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizotoa kwa reshuffle ya mwisho wa wiki iliyopita. Sababu kubwa inasemekana viongozi katika ngazi fulani hawaelewani. Hii imenishtua sana! Nikajiuliza, kwa nini viongozi mahali popote kikazi...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa shule wanapata shida sana, kuwe na maazimio ya kitaifa

    Baada ya kusikia watoto waliofariki kwa kuzama mtoni, nikakumbuka takwimu zinazoonesha idadi ya watoto wanaovuka maji kufika shule, idadi ya watoto wanaovuka maeneo yenye wanyama hatarishi kufika shule. Serikali inajua kuhusu hilo, kwa kuwa takwimu hizi nazitoa kwao. Basi nikaingia niangalie...
  16. JamiiForums Tanzania Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

    Hello mambo aje JF! Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Muungano ni JANGA LA KITAIFA ?

    Mimi nadhani ni Mfumo wa MUUNGANO waliojiwekea hauruhusu mabadiliko, kwahiyo CCM wamekwama. Nadhani sasa ni wakati muafaka kabla ya kuandika kwa katiba mpya Pajadiliwe mfumo muafaka wa Muungano kwanza . Kuna hatari kuwa endapo chama kingine kisichokuwa CCM kukamata upande mmoja wa Muungano na...
  18. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

    Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli. 17 march: Magufuli Day Kwenu wakereketwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…