kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kuchangisha pesa Wafanyabiashara kila kunapokuwa na ugeni wa kitaifa (siasa) katika Mkoa

    Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia. Sasa kwanini...
  2. Parabolic

    Kiongozi wa Azaki agusa umuhimu wa majadiliano ya kitaifa

    Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
  3. R

    Iraq imetangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah

    Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA). “Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni...
  4. A

    KERO Mamlaka husika ziweke wazi malipo ya Washiriki wa Mradi wa Digital Tanzania, huu ni mradi mkubwa wa Kitaifa

    Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
  5. Tlaatlaah

    Chemistry ya uongozi wa DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU imebamba mioyo ya wananchi wote TZ na inakubalika na kuaminika mno kitaifa na kimataifa

    Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania. Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
  6. W

    Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  7. H

    Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

    DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
  8. idiomer

    Kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini?

    Hivi kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini? Mada mezani wadau wa elimu?
  9. R

    Peter Madeleka: Tutenge siku maalum ya kumsifia Rais. Nami naongezea iwe Siku ya Mapumziko kitaifa

    Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
  10. M

    Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  11. funaku

    Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  12. K

    Ushauri: iitwe Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Pamoja wa Kitaifa

    Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026. Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini...
  13. P

    Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  14. M

    Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  15. Mudawote

    Umuhimu wa Mawasiliano Wakati wa Mizozo ya Kitaifa

    GTs, Katika siku za karibuni tumeshuhudia kuzimwa kwa huduma za mtandao na vizuizi katika majukwaa ya kijamii nchini. Hatua kama hizi, ambazo mara nyingi hutolewa kama “za kiusalama,” zimeleta maswali mazito kutoka kwa wananchi kuhusu uwazi, usimamizi wa taarifa, na haki ya kupata habari...
  16. Raia Fulani

    WITO WA KITAIFA: Taifa letu linajivua gamba, tuvumiliane

    Nyakati kama hizi haziepukiki. Taifa linazeeka na linahitaji Reforms. Kama waasisi wa Reforms walidhani itabakia kwenye tafsiri zao, basi walikosea sana. Reforms ni OVERHAUL. Hakuna cha Ceteris paribus. Mabadiliko yasipowagusa ni kazi bure. Sio suala la mvinyo mpya, chupa ya zamani. Hata baadhi...
  17. DuaZaMama

    Sifa za Range Rover SUVs za Kisasa zenye Ulinzi Maalum kwa Viongozi wa Kitaifa

    Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
  18. Sky Eclat

    Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    A call for citizens to mourn a major national tragedy We, members of different communities in Tanzania, with great sorrow and heavy hearts, acknowledge the tragic events that have occurred in Tanzania, where brutal killings have claimed the lives of 3,000 innocent people. We announce that we...
  19. Sky Eclat

    Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa wa kitaifa Sisi wanajamii, kwa huzuni kubwa na moyo mzitotunatambua matukio ya kusikitisha yaliyojitokeza Tanzania, ambapo mauaji ya kikatili yamepoteza maisha ya watu 3000 wasiokuwa na hatia. Tunatangaza kuwa sisi wanajamii tutakuwa na siku 3 za...
  20. msovero

    Nini kifanyike kuleta umoja na mshikamano wa kitaifa?

    Ndugu Wana JF karibuni kwenye mjadala wa wazi wa kutoa maoni juu ya mambo gani yafanyiwe kazi ili kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa bila kujali tofauti za itikadi zetu za dini na kisiasa. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nashauri mambo haya; 1. Kutengwa siku maalum ya kitaifa ya kuomboleza...
Back
Top Bottom