kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. 2

    JamiiForums Tanzania Nchimbi angesoma na kuzielewa sheria zifuatazo kwenye kitabu cha 48 laws of power kingemsaidia sana

    Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46 Never Outshine the Master Pose as a Friend, Work as a Spy Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous Master the Art of Timing Think as You Like, But Behave Like Others Never Appear Too Perfect
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimeamua nikomae na kitabu cha MMEA MWANZO MWISHO “HEMP”

    Tusiogope kupata kitu Kuna watoto First born yeye ilikuwa sigara na safari larger Second born horizontal engineering Third born ilikuwa Kilimanjaro larger Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni Sixth , K vant mwanzo Mwisho...
  3. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kitabu: How to win friends and influence people

    Tafsiri ya kiswahili ya kitabu How to win friends and influence people by Dale Carnegie. KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kitabu: How to win friends and influence people

    KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa, mhalifu aliyejulikana kama Crowley “Bunduki mbili”, muuaji na jambazi wa kutumia silaha ambaye...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  6. JamiiForums Tanzania Taswira ya kitabu cha historia ya Samia Hasani kitakuwaje

  7. JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Baada 1998 ya Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kuchapwa 1998

    https://youtu.be/-L6k_ia30o0?si=5Ck-gQBXk6Kia5HR
  8. F

    JamiiForums Tanzania NIPIKE NINI LEO ni kitabu bora cha mapishi kutusaidia tunaopata stress na kuwaza cha kupika kila siku, pia kinawafaa wagonjwa wa kisukari, presha,etc

    1. Kitabu hiki ni kizuri kumsaidia mama wa familia kujua cha kupika bila kuumiza kichwa kwa mawazo. Mfano kama ana wageni wa ghafla kinamsaidia kuona cha kupika haraka. Kama anauguza mgonjwa pia wa magonjwa yanayotokana na lishe kama kisukari ama presha kitabu hiki kinamsaidia kujua cha...
  9. JamiiForums Tanzania Propaganda: KItabu Cha Abdul Sykes Kinauzwa Misikitini

    Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni kitabu kilichozingirwa na ubishani mkubwa toka mara ya kwanza kilipochapwa kwa Kiingereza mwaka wa 1998...
  10. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  11. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya kitabu cha maisha ya Abdulwahid Sykes

    Kila mchapaji nikimpa publisher atakaa na kitabu kile... kitabu kizuri sana lakini m siwezi kukichap kitabu... Haya mambo uliyoandika huyu bwana matatizo." Kuhusu madai ya kuwa na "obsession" na familia ya Sykes: "...watu wengine wanasema Mohamed una obsession... na family ya kina saambia ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kimewasili

    Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu. Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenye kutengeneza kitabu kwa jina :Hofu ya kumiliki madaraka mwisho wake.

    hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari. Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa. Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya Mohamed Mangiringiri Kama Ilivyo Ndani ya Kitabu Cha Abdulwahid Sykes

    MOHAMED MANGIRINGIRI KAMA ALIVYO NDANI YA KITABU CHA ABDULWAHID SYKES Ofisi ya wilaya ya TANU, Tabora, sasa chini ya uwenyekiti wa Mohamed Mangiringiri, fundi cherahani aliyeajiriwa na mfanyabiashara wa Kiasia, G. B. Somji, iliwashirikisha wanachama wote na vyama vilivyokuwa na udugu na TANU...
  15. JamiiForums Tanzania Hapa ndipo uchawi ulianzia na hiki ndio kitabu chao

    Kuna vitabu viliondolewa kwenye Biblia tunayoitumia leo wakati wa mchakato wa kukusanya maandiko karne nyingi zilizopita. Kati ya hivyo, Kitabu cha Henoko (The Book of Enoch) ndicho chenye siri nzito zaidi na kimekuwa maarufu sana kwenye ulimwengu wa giza na ushirikina. Kabla hatujafika mbali...
  16. JamiiForums Tanzania Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

    Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!, Yaani Biblia!. Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike...
  17. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kitabu Cha Historia ya Tippu Tip Kutoka kwa Hamisi Delgado

    MAKTABA YAPOKEA KITABU CHA TIPPU TIP KUTOKA KWA HAMISI DELGADO Leo nimepokea kitabu, "Tippu Tip: Ivory, Slavery and Discovery," kutoka kwa rafiki yangu Hamisi Delgado. Nimebahatika kuingia ndani ya nyumba ya Tip Tippu Mji Mkongwe Zanzibar na nje ya hii nyumba yake ndipo lilipo kaburi lake...
  18. JamiiForums Tanzania Kifahamu kitabu cha ajabu zaidi Duniani "Voynich Manuscript" na maajabu yake

    Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi kuvielewa ila alinielewesha kuhusu kitabu cha One Thousands and One Night (Alf Laylah-wa Laylah) Mi...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania na Maadili: Shule za Sekondari Kitabu cha Mwanafunzi Kidato Cha Tano

    Kuna ajuaye yaliyomo kwenye kitabu hiki?
  20. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Historia ya Tanzania na Maadili: Kitabu Cha Mwanafunzi Kidato Cha Kwanza

    Yupo ajuaye kitabu hiki kinafundisha nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…