kisutu

  1. Mama lishe walikimbia soko la Kisutu, warudi mtaani kisa ushuru wa shilingi 500

    Uongozi wa soko la baba na mama lishe Kisutu jijini Dar es Salaam wamesema Serikali iwashughulikie kundi la mama lishe na baba lishe ambao wanaondoka sokoni hapo na kurejea mitaani kwa kigezo cha kushindwa kulipa ushuru wa shilingi mia tano. Akizungumza nasi katibu wa soko hilo, Bakari Hussein...
  2. Vitumbua vya Kisutu na Upanga bado vipo?

    Maeneo ya Kisutu kule nyuma karibu na Upanga kulikuwa na eneo vinapikwa vitumbua vitamu mnooo. Sijui kama bàdo wapo wale jamaa.
  3. Maofisa watano wa TMDA waliokuwa na tuhuma ya kuhujumu uchumi waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge, waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la kuisababishia hasara Mamlaka hiyo ya...
  4. Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  5. Watendaji wa Mange Kimambi App wapandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
  6. M

    Hesabu hii ndiyo inawaumiza Vichwa wa Magogoni na Chamwino na wale wa Kisutu na Lumumba kuhusu Gaidi wa Kusingiziwa

    1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama? 2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa? 3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025? 4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda...
  7. Masjid Rawadha na Soko Mjinga Kisutu

    MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili. Kulia ni soko maarufu likijulikana kama Soko Mjinga. Majengo yote hayo yamebadilika kwa kuvunjwa yale ya zamani...
  8. S

    Leo ni hukumu ya kina Aveva pale Kisutu, tuwaombee

    Leo tarehe 06 October 2021 ndio siku ya kusomwa hukumu ya kesi inayowakabili aliyekua Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na wenzake. Katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa kula njama, matumizi mabaya ya ofisi, kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pesa za mauzo ya Emmanuel Okwi...
  9. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi. Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia. ==== UPDATES Jeshi la Polisi Kanda...
  10. DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

    Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru. Mbali na Lissu washtakiwa wengine walikuwa ni Mhariri wa Gazeti la...
  11. B

    Kilio cha akina Mama Kisutu kitaondoka na nafsi ya kiongozi mkubwa nchini

    Tunaoamini Kwenye imani ya dini tunajua namna kilio Cha wanawake pale wanapodai haki kinavyoleta laana Kwenye familia. Haiwekani wale wakina Mama wakatoa machozi Yakapita bila kuleta madhara. Ni maoni yangu tuombe toba hasa viongozi ambao machozi yalielekezwa kwako la sivyo tunakwenda...
  12. J

    Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

    Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge azikwa. Jamii, rafiki na ndugu zake Wamzika ==== Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika...
  13. Kisutu-Dar: Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule wafikishwa Mahakani

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Mkurugenzi wa Temeke Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule, Wamefikishwa Mahakamani Kisutu asubuhi hii. Hatua hii imekuja baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa siku nne kwa TAKUKURU kumfika Mwakabibi Mahakamani ajibu Mashitaka yanayomkabiri. Katika ziara yake ya...
  14. Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo. Ugaidi katika nchi ni jambo baya...
  15. Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
  16. Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  17. M

    Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

    Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM. Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao. Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP...
  18. Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

    Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu. Msikilize...
  19. Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

    Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe. Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja...
  20. M

    Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…