kisiwa

Mombasa ( mom-BASS-ə, also US: -⁠BAH-sə) is a coastal city in southeast Kenya along the Indian Ocean. The city is known as the white and blue city in Kenya. It is the country's oldest (circa 900 AD) and second-largest city (after the capital Nairobi), with a population of about 1,208,333 people according to the 2019 census. Its metropolitan region is the second-largest in the country, and has a population of 3,528,940 people.Mombasa is a tourism-based city; it has an extra-large port and an international airport, and is an important regional tourism centre. Located on the east coast of Kenya, it also is the home of one of the state houses, and is considered by some as a second capital in all but name.
In an effort to increase tourism, in June 2018 Mombasa County Governor Hassan Joho issued a directive requiring that all buildings in the Old Town and the Central Business District be painted white with Egyptian blue trim and banning all signs from their walls or canopies. "This allows tourists to take photos," explained Transport, Infrastructure and Public Works County Executive Tawfiq Balala. "We want to be the most photographed city in Africa." The order was challenged by the Commission For Human Rights and Justice, but Judge Erick Ogolla upheld the requirement.In Mombasa County and the former Coast Province, Mombasa's situation on the Indian Ocean made it a historical trading centre, and it has been controlled by many countries because of its strategic location.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ufunguo wa seli ya Nelson Mandela katika gereza la kisiwa cha Robben warejeshwa Afrika Kusini-Waziri

    Ufunguo wa seli ya gereza ya Kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani, waziri mmoja anasema. Mnada huo ulikuwa ufanyike New York tarehe 28 Januari hadi Waziri wa Utamaduni wa Afrika Kusini Nathi Mthethwa alipopinga. "Ufunguo...
  2. ABINALA

    JamiiForums Tanzania Jf sio kisiwa

    Habari wapendwa wana jamvi LA jf! Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf! Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao kanisani, kisimani,sokoni nk. Hivyo basi napenda kuwahusia wale wanaotukandia sisi tuliojipatia wenza hapa...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kijue kisiwa cha Mnemba, kilichopo Zanzibar, kinachodaiwa kumilikiwa na Bill Gate

    Watanzania wengi hawajawahi kusikia kuhusu hiki kisiwa kilicho maarufu kwa wapenda bata wa kimataifa. Mnemba Island ni kisiwa kidogo kinachojitegemea , kilichopo kaskazini masharaki yapata umbali wa kilometa 3 kutoka Unguja. Mkabala na ufukwe wa Muyuni (Muyuni Beach). Kisiwa hiki chenye...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Robinson Kruso na kisiwa chake

    Hadithi hii ni tafsiri ya kitabu Robinson Crusoe, iliyoandikwa mwaka 1719 na muandishi muingereza, Daniel Defoe, miaka ya sitini ilitafsiriwa kwa kiswahili. Nitaiweka hapa yote, pia unaweza kuisoma bure ndani ya app ya maktaba(by pictuss) iliyopo playstore. Ni nzuri kuisoma kujikumbusha zamani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

    Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo. Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio. Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona. Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kisiwa chenye hazina

    KISIWA CHENYE HAZINA Mtunzi: Robert Louis Stevenson,1883. Mtafsiri: F johnson na Edwin W Brenn, 1928. Marekebisho: Pictuss, 2021. Pictuspublishers@gmail.com Kinapatikana ndani ya maktaba app by pictuss. SURA YA KWANZA: MZEE KAPTENI Kuna mabwana wameniomba niandike habari zote...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya nyumba ya Obama

    Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29. Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako...
Back
Top Bottom