kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ITR

    JamiiForums Tanzania Vita iliyo anzishwa kumuangusha Ayotullah imegeuka na wenda kumnufaisha kisiasa

    Vita iliyo anzishwa na Netanyau kwa lengo la kumuangusha Ayatollah imekuwa kinyume chake na inaenda kumnufaisha kisiasa. Nadhani ulimwengu wa kimagharibi utakuwa umeshangazwa,kufadhaishwa na kutamaushwa sana na raia wa Iran kwa kuungana na serikali yao hali yakuwa wamekuwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanatumia bei ya Pamba kisiasa

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesema kuwa hoja za kisiasa kuhusu bei ya pamba nchini zinapotosha umma, kwa kuwa tatizo halisi si bei bali ni uzalishaji mdogo wa zao hilo miongoni mwa wakulima wa Tanzania. Akizungumza Jumanne, Juni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wacharuka, wakosoa hali ya kisiasa iliyopo Tanzania

    22 June 2025 Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali Kutiki October 2025 No Reforms No Election Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100% Bunge la Dodoma lamulikwa Umuhimu wa elimu...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Fid q ana upeo mzuri sana wa kuelewa mambo ya kisiasa na kijamii ,hongera Kwake.

    https://www.facebook.com/share/v/1B6PKnEax7/ Video inajieleza.
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Kura: Jinsi Mfumo Unavyowalaghai Wananchi kwa Lugha Tamu za Kisiasa

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika, bali ni ujinga uliopandikizwa kwa makusudi na mfumo wa kisiasa unaonufaika na kutojitambua kwa...
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uadui wa kisiasa. Zambia yawa Nchi ya kwanza kwa Raisi wake mstaafu kuzikwa Nchi nyingine

    "Siku nikifa mpinzani wangu Hichilema, asishiriki maziko yangu Wala kuukaribia mwili wangu" Familia ya Rais wa Zamani wa Zambia Edgar Lungu Yatangaza Atazikwa Afrika Kusini Baada ya Mvutano na Serikali Familia ya rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imetangaza kuwa atazikwa nchini Afrika...
  9. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Hii sio vita ya kisiasa, ni vita ya kiroho iliyopangwa mnamo mwaka 1871

    Wengi wanaangalia migogoro ya dunia ya leo na kudhani ni siasa, nguvu za kiuchumi au mivutano ya kimamlaka. Lakini Mwaka 1871, Albert Pike aliandika mpango ulioweka ramani ya vita vitatu vya dunia... • Vita vya Kwanza vya Dunia: Kuharibu falme na kuzalisha Ukomunisti • Vita vya Pili vya...
  10. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

    1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa). 2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa. 3. Bali wenzetu wasomi...
  12. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  14. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Tff /Simba sc limechukua sura ya kisiasa

    Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march. Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: CCM haihusiki kuzuiliwa kwa CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa, ni migogoro ndani ya chama chao

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
  16. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chadema Inakufa kwa majeraha mabaya sana yenye maumivu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yakujitakia

    Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo. Kuitenga na kususia michakato ya kidemokrasia kwa mihemko ya kiongozi wao moja tu, ilikua ni kosa la pili kubwa zaidi lililoiingiza...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kisiasa nchini, Naomba tuburudike kidogo labda tutaeleweka

    Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi. Ko sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
Back
Top Bottom