kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahakama DRC kufuta Vyama vya Kisiasa kikiwemo PPRD cha Joseph Kabila

    Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s Party for Reconstruction and Democracy), kinachoongozwa na Rais wa zamani Joseph Kabila. Chama cha...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Athari za kuto shaurika na kuto ambilika kwa viongozi CHADEMA taifa zinawatesa kisakolojia

    Na sasa imekua ni desturi ya chadema, ni mwendo wa matamko tu. Yaani kiongozi wa chadema akikerwa na jambo lolote tu kibinafsi, anatoa tamko na kwamba huo ndio msimamo wa chadema Taifa.🤣 Nadhani panahitajika counciling clinic kwa viongozi waandamizi wa chadema kabla mambo hayajaharibika zaidi...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kuyakubali mazuri ya CCM

    Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Vyama vya Siasa nchini Mali zimepigwa marufuku

    Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia televisheni ya taifa. Tangazo hilo limekuja ikiwa ni siku chache tangu serikali hiyo ilipotangaza azimio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

    Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja. Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo. Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua...
  6. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina Ushauri: Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kiroho haihataji jukwaa kumuonya kiongozi wa Kisiasa

    Viongozi wa kidini hutoa matakwa yao kwa viongozi wa kisiasa kwa ujumbe na vikao maalumu ambavyo jamii haiwezi kuvitambua. Privacy na Confidentiality juu ya maswala yanayoikumba jamii huzingatiwa katika mawasiliano kati ya viongozi wa Siasa ,dini na mila. Huu ni utamaduni wa enzi na enzi na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Madikteta kutawala watu

    Madikteta mara nyingi Huwa mafisadi vilevile. Hawa watu hupenda sana kuwapa watu rushwa ili kuwanyamazisha,Wengine hupewa rushwa kubwa Wengine huambulia vitu vidogovidogo kama mtungi wa gesi,kanga,vitenge na Kofia hata bia Moja tu ni kulingana na mtu anavyojitambua,akiona wewe rushwa Hutaki...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hivi ndo namna Watanzania tunavyowaona Matapeli wa Kisiasa kwa sasa.

    Wakati wa Mungu ukifika hakuna anayeweza kuuzuia. Huu ni wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania na Watanzania dhidi ya siasa za kitapeli, kuhuni na kifisadi ambazo zimefanywa na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sasa na kuwafanya Watanzania wazidi kuwa masikini bila maendeleo ya uhakika kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
  13. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ulaghai wa kidini na kisiasa unavyoyumbisha watanzania

    Myself nachoshwa na hizi ngenga za kidini, yaani nachukizwa na kitu chochote kinachotengeneza matabaka. Leo hii ukichunguza Kwa umakini unagundua hizi dini zinachangia pakubwa kuleta utengano kwenye jamii kuliko kuunganisha. Watu wengi tunachekeana usoni tu lakini nafsi zetu zinajipendelea...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 33 ya utapeli wa kisiasa

    Mrema- agent Cheyo-agent Lipumba-agent Slaa-agent Mbowe-agent Safari-agent Baregu-agent Zitto-agent Bulaya-agent Mdee-agent Seif-agent Kafulila-agent Katambi-agent Mashiji-agent Yeriko-agent Malisa-agent List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  18. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Wananchi: Nguzo ya Uonevu wa Kisiasa Tanzania

    Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
Back
Top Bottom