kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa siyo Jukwaa la Ubaguzi: Wanaume wakome kuwadhalilisha Wanawake kwa Kauli za kubeza

    No Reforms, No Election Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan Kiwanga. Kauli hizo zimeacha maswali mengi kuhusu heshima, utu, na nafasi ya mwanamke katika siasa za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalim na kundi lake hawajakomaa kisiasa

    Team Maalim ilipohama CUF na kujiunga na ACT hukuwahi kuwasikia wakiwashambulia CUF, sio Lipumba , Sakaya wala Nachuma. Sii Jussa, Maalim mwenyewe wala Mansour Hii tofauti na viongozi wa CHADEMA waliohama. 99% za mapambano yao ni dhidi ya chama waliotoka. Hawa bado wachanga kisiasa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

    Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni yetu wote

    “Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
  5. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutafuta sympathy ya Jumuiya za Kimataifa ni ishara tosha kwamba hawawezi tena kwa lolote imekata pumzi Kisiasa nchini

    Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia. Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani kumekifanya chama hicho kukosa cha kufanya zaidi ya kupiga mayowe na kuomba huruma ya viongozi wa dini...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Abihudi Misholi alishayatabiri haya yanayotokea leo ya utekaji na mauwaji ya kisiasa wakati wa uchaguzi

    Mchungaji Abihudi Misholi kwenye wimbo wake unaoitwa ombea amani Tanzania ambao aliuimba kipindi cha Mkapa kuelekea Kikwete umetabiri kwa usahihi kabisa haya yanayotokea leo. Ni bahati mbaya sana unabii huu umetimizwa na mwanamke. Mwenye wimbo huo atuwekee hapa.
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema kama NCCR, CUF na TLP, Wacha watanzania waendelee kukomaa kisiasa.

    Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani. Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
  11. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  12. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

    Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ombwe la uongozi mahoka ya kisiasa na utashi wa maamuzi

    Linda sana kinywa chako...! Kwakuwa maneno hayana rivasi, ni Kama risasi ikitoka imetoka... Tamshi moja la maneno machache kabisa.. Linaweza kuokoa roho mia hilohilo linaweza kuangamiza roho elfu Ukiwa umezungukwa na wawili.. Mmoja anakukosoa sana na mwingine anakusifu sana! Pokea shukrani za...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Zijue njia za kutakatisha Fedha zinazofanywa na Viongozi wa Umma na Serikali ( Wahalifu wa Kisiasa)

    1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  18. S

    JamiiForums Tanzania HAKI za Binadamu na UHURU wa Kisiasa

    Mandhari ya haki za binadamu na uhuru wa kisiasa nchini Tanzania yanaweza kuathiri ikiwa Lissu atakabiliwa na mashtaka ya Uhaini, Njia ya nchi katika kukabiliana na upinzani na wapinzani inaweza kubadilika, na matukio mapya yanaweza kutokea ambayo yanaweza kusababisha mashtaka au taratibu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Uchawa Ndani ya CCM: Njia Mpya ya Kisiasa au Hatari kwa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NRNE no reforms no election ni mapinduzi ya kifikra na kisiasa watawala mjitafakari

    Huu upepo wa No reform No election ni mkubwa na una nguvu umeshika kasi kwa wananchi. Hii ni "ideology" na ni ajenda ambayo wananchi wanaielewa kwa urahisi kutokana na yaliyoonekana kwenye chaguzi zilizopita na hususani uchaguzi wa 2024. Ninashauri Serikal8 yangu tukufu ifanye marekebisho ya...
Back
Top Bottom