kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Taswira ya Kisiasa ya Tanzania Inawafukuza Wawekezaji Wakubwa?

    Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa: Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala. CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo vya dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Katoka Leo kuendelea na Mikutano ya kisiasa? Baada la Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Vyanzo vyangu vya Taarifa vimejihakikishia hakuna Kunguni yoyote aliyetoka leo baada ya Katazo la Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa sana Patrobas Katambi. Mikutano ya Chuki, Matusi, Uzandiki na Uchochezi hatimaye imekwisha kabisa. Kama ulikua hujui hiyo ndiyo Serikali.
  7. K

    JamiiForums Tanzania MSWADA WA SHERIA: Pendekezo la Sheria ya kudhibiti na kutokomeza "Uchawa" maofisini na Bungeni (Udhibiti wa Chawa wa Kisiasa)

    Ndugu wana-jamvi, Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
  8. JamiiForums Tanzania Asante katambi kwa kupunguza vurugu za kisiasa nchini

    Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza kutulia na kuwa na amani kwa sababu ya harakati za kisiasa ambazo haziishi na kuturuhusu kufanya kazi na...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni wakati muafaka sasa kuwe na sheria ya kuruhusu wenye dhamana za wananchi tu ndio wafanye mikutano ya hadhara ya kisiasa?

    Hii ikimaamisha, viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Nilitembelea makaburi ya Watakatifu ambayo kisiasa huitwa mashujaa

    NILITEMBELEA MAKABURI YA WATAKATIFU AMBAYO KISIASA HUITWA MASHUJAA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon wa Fasihi. Basi nikasema, mimi naam ndio mimi mwenyewe. Nitaenda kwenye makaburi. Yalipo makaburi ya Watakatifu. Tena nikiwa njiani kumbe katika njia hiyo sikujua kuna makaburi mengine...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DIT Yakabiliwa na Uchawa wa Kisiasa?

    KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na Upepo...
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ukimya wa Freeman Aikaeli Mbowe, unaipa kiwewe Chadema masalia kisiasa kwa sasa?

    Freeman Aikaeli Mbowe, aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka. Chadema masalia imekua...
  15. JamiiForums Tanzania Mwauwasa wanatumika kisiasa

    Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane .. Walianza hii michezo tokea mwaka Jana kuelekea uchaguzi mkuu... Hapo TANESCO wamekanusha kuhusika
  16. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mkuu wa majeshi Gambia kumefichua mvutano mkali wa kisiasa na kiusalama, Gambia yatikiswa

    👉 Taarifa za ndani zinaonyesha kujiuzulu kwa Mkuu wa Majeshi wa Gambia kumetokea katika mazingira ya msukumo mkubwa wa kisiasa na kiusalama. 👉 Vyanzo vya karibu na Ikulu vinadokeza kuwa hatua hiyo haikuwa ya kawaida, bali imechochewa na mnyororo wa tuhuma zinazomzunguka. 👉 Ingawa...
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  18. JamiiForums Tanzania Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Wiki moja tu ya mikutano ya CCM wamechanganyikiwa na kupata mfadhaiko wa kisiasa.

    Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano. Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi. Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato. Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…