Miaka 15 baada ya kesi za ICC kutawala siasa za Kenya, jina la Rais William Ruto limetajwa tena katika wito unaoelekezwa The Hague - wakati huu Kenya ikielekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Muungano wa upinzani umetaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuchunguza...
Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana.
Na daima,
hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu.
Kwa sasa...
UPOPO WA TIKITI: Masimulizi Kutoka Nchi ya Tongotongo
Kuna nchi moja inaitwa Tongotongo. Katika nchi hii, kila kitu kinaonekana kwenda taratibu lakini kwa hesabu kali sana. Mitaani, wananchi wanapishana wakiwa wamebeba machungu na matumaini yao. Lakini katikati ya vumbi la barabara na mayowe ya...
Picha za afisa wa polisi aliyeshambuliwa na kundi la vijana huko Homa Bay zimeibua swali ambalo tunapaswa kujiuliza kama taifa:
Je, tofauti zetu za kisiasa zimetufanya tusahau thamani ya maisha ya binadamu?
Unaweza kuunga mkono ODM, Kenya Kwanza, Linda Mwananchi, upinzani au serikali - lakini...
Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi?
Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
Wakuu wa jukwaa hili,
Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji.
Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
Kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amedai kuwa Rais William Ruto anaendesha mkakati wa kumtenga kisiasa Naibu Rais Kithure Kindiki ndani ya serikali ya Kenya Kwanza.
Akizungumza wakati wa mazungumzo na vyombo vya habari, Gachagua alisema Kindiki...
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na
Bunge (Legislature)
1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
haki
haki za raia
halali
katiba
katiba mpya
kauli
kisiasa
kulinda
kusema
kutetea
makamu
makamu wa rais
mazingira
mpya
raia
rais
sana
ugaidi
viashiria
viongozi
watanzania
wote
Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa wananchi kujiuliza kama huo ndio uongozi wanaouhitaji.
Swali la msingi ni hili: Kwa nini nguvu na...
Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM.
Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo.
MAJUKWAA YA GIZA:
Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.