kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  3. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kilimo, kwanini mara nyingi maslahi yake huonekana kutegemea upepo wa kisiasa?

    Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  5. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Uhusika wa vyombo vya dola kwenye siasa

    Naomba wajuvi wa sheria mtufafanulie Inawezekana labda hatujui sheria au labda tunalalamika na kunung'unika bila sababu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

    Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Our Son Is Suffering’: Gachagua Asema Ruto Anamlenga Kindiki Kisiasa

    Kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amedai kuwa Rais William Ruto anaendesha mkakati wa kumtenga kisiasa Naibu Rais Kithure Kindiki ndani ya serikali ya Kenya Kwanza. Akizungumza wakati wa mazungumzo na vyombo vya habari, Gachagua alisema Kindiki...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za misiba jimbo la Maswa Mashariki hazipaswi kuwa mtaji wa kisiasa

    Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa wananchi kujiuliza kama huo ndio uongozi wanaouhitaji. Swali la msingi ni hili: Kwa nini nguvu na...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa?

    Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Vijana wengi wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa." Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

    Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa. Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari...
  17. mike2k

    JamiiForums Tanzania Je, Taswira ya Kisiasa ya Tanzania Inawafukuza Wawekezaji Wakubwa?

    Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa: Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala. CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo vya dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
Back
Top Bottom