kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

    Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji . Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuziangalia bidhaa zilizopanda bei kutokana na matamko ya kisiasa na kuumiza wananchi wa hali ya nchi

    Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tujuzane kinagaunaga; Nyalandu ana ushawishi gani wa kisiasa hapa Tanzania?

    Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili. Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu? Kwamba hii leo akisimama jukwaani kuna mtanzania atamsikiliza na kumuelewa? Kashfa kibao alipokuwa wizara ya Maliasili...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  6. JamiiForums Tanzania Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM

    Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM. 1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO) 2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…