kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
  2. JamiiForums Tanzania Chuki za kisiasa isiwe sababu ya wapinzani kupakazia wanaCCM ujambazi. Unyanyangnyi wa kutumia siraha ni serious offence

    Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko. Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia. Tuweke...
  3. JamiiForums Tanzania Togo yakubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa nchini Mali

    Rais wa Togo Faure Gnassingbe amekubali kuwa mpatanishi katika mzozo wa kisiasa wa Mali huku serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikikabiliwa na shinikizo la kurudisha utawala wa kiraia, mawaziri wao wa mambo ya nje wamesema. Tangu Agosti 2020 wakati jeshi lilipochukua mamlaka...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Misri yamuachilia huru mwanaharakati wa kisiasa aliyehukumuiwa kwa makosa ya ugaidi

    Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam Monis kulikuja baada ya kuachiliwa kwa wafungwa kadhaa wa hadhi ya juu, siku chache kabla ya mwisho wa...
  5. JamiiForums Tanzania Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

    Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati Na; Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA) Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani...
  6. JamiiForums Tanzania TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Sokoni Kata ya Sirari Wilayaní Tarime Mkoaní Mara, Moshi Sayi Maduhu, ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingoni baada ya kutokea ubishi wa kisiasa kati yake na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

    Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi. Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

    Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani. Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  12. JamiiForums Tanzania Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  13. JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
  14. JamiiForums Tanzania Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

    Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

    Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo. Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo. Video: Global TV
  16. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Kilimanjaro wakanusha kumpokea kiongozi yeyote wa kisiasa Machi 19, 2022

    Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa . Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano miwili imekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
  18. JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  19. JamiiForums Tanzania Misamaha ya Kisiasa na hatari ya Taifa lisiloheshimu mamlaka wala kufuata Sheria

    Msamaha ni jambo jema sana kama binadamu na pia ni sehemu ya ibada. Kitabu kitakatifu cha biblia tunasoma maandiko yakisema samehe saba mara sabini ikiwa na maana kwamba msamaha hauna kikomo. Vile vile kitabu hicho kinasema kwamba tuheshimu mamlaka iliyowekwa na Mungu na ya Kaisari tumpe...
  20. JamiiForums Tanzania Venance Shitindi angefika mbali Kisiasa lakini alijikoroga akakorogeka

    Wakuu Kwema! Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi? Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha masomo yake Kwa ajili ya watu. Taikon nilikuwa navutiwa na Siasa za huyu jamaa kipindi tunasoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…