Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi
Summary
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali.
Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa.
Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm.
Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila
Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji.
Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group.
Brave inadai...
Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda.
Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani.
Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia
Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti.
Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid...
Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda .
Tuendelee...
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.
Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.
Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao.
Membe karudi CCM alikofukuzwa.
Mashitaka ya Mbowe yakafutwa.
Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa.
Mikutano ya kisiasa imerudi upya.
Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala
Tundu Lissu alionana na...
Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya.
Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania.
Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu.
Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18.
“Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika!
Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...