kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

    Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa. Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: NEC na Uhalali wa Kisheria Dhidi ya Uhalali wa Kisiasa

    UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA #NECijiuzulu #INECiingie Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024...
  4. JamiiForums Tanzania Hili la viongozi wa kisiasa kulalamika zaidi ya wananchi ni jipya

    Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa wamepoteana na Kupoteza uelekeo kabisa mazima... Hayati Edward N. Lowasa, aliwahi kusema, na nukuu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

    Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao. Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    Kwema Wakuu! Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai. Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali. Miongoni mwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini nafasi za kisiasa zisiwe zinatangazwa wanachama tuombe?

    Makatibu wa chama kwenye ngazi zote na vyama vyote wanateuliwa. Wenezi wa chama wote wanateuliwa. Wenyeviti wanapatikana kwa kura. Natafakari kwanini vyama vya siasa visibadili mfumo na nafasi zote zinazoambatana na mshahara basi zitangazwe watu waombe kama wanavyoomba huko serikalini...
  10. JamiiForums Tanzania Godbless Lemma, umeletewa kete ya kisiasa Arusha, cheza draft mpaka na huko afukuzwe, maana amekaribia mahali kitovu cha Ben Saanane kilizikwa

    Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori. Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
  11. JamiiForums Tanzania Misafara na vimulimuli: Ushamba wa kisiasa

    Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia. Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli Ajali msafara wa Mkonda huko kusini Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jamii ya kimaasai yakataa mambo ya kimila kunajisiwa kisiasa

    Wakazi wa Ngorongoro wamefurahishwa na tukio la kuzuiwa kwa Mwanaharakati Joseph Moses Oleshangay anaeishi jijini Arusha aliyeanzisha harakati za kujitawaza kuwa Laigwanan wa jamii ya kimasai katika mitandao ya kijamii na baadaye kupanga tukio hilo kufanyika ndani ya hifadhi ya Ngorongoro. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  15. JamiiForums Tanzania Haiwezekani kwa EAC kuwa na sarafu moja bila ya kuwa na shirikisho la kisiasa kwanza

    Naona kuna habari za EAC kuwa na sarafu moja. Kwa mipango ya EAC leo hii tayari tulitakiwa kuwa na sarafu moja. Lakini kiukweli ni ngumu sana kuwa na sarafu moja bila ya kuwa na shirikisho la kisiasa. Jambo hilo limewatesa na linazidi kuwatesa Umoja wa Ulaya. Nchi huwa zinashindana kibiashara...
  16. JamiiForums Tanzania Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto ya maji wilaya ya Handeni mkoani Tanga ulikuwa mtaji wa kisiasa. Mradi wa htm ni taa ya giza la muda mrefu

    Anaandika Almaliki Mokiwa Februari 28, 2024. Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ni eneo lenye 6,534 km² lililopakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Magharibi, Wilaya ya Korogwe na mkoa wa Kilimanjaro kwa upande wa Kaskazini huku likipakana na wilaya ya Pangani kwa Upande wa Mashariki na Mkoa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atangaza msamaha wa jumla kwa wapinzani wa kisiasa

    Taifa hilo la Afrika Magharibi linakabiliwa na mzozo mbaya wa kisiasa katika kipindi cha miongo kadhaa baada ya Sall kuahirisha gafla uchaguzi wa rais wa Februari 25 saa chache kabla ya kampeni ya uchaguzi huo kuanza. Sall ameitangaza hatua hiyo ya msamaha kama njia ya kuiunganisha nchi, baada...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anapohudhuria msiba wenye kamera lengo lake ni moja tu, ambalo ni kujiimarisha kisiasa, vivyo hivyo kwa mwanamuziki.

    Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili. Hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Uchawa wa kisiasa uliovuka mipaka

    Ukisikia Uchawa uliovuka mipaka kwenye siasa ndio kama huu,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…