kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM alipaswa kujibu “Mbowe must go “ na sio kuonesha jazba au kujibu hoja za kisiasa kama Amiri Jeshi Mkuu.

    Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine. Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Upepo wa kisiasa nchini hausomeki, kuna nini?

    Katika kipindi hiki kifupi kama miezi mitatu hadi sita, upepo wa kisiasa hausomeki. Matukio tunayoyaona mengine si tu siyo ya Kitanzania lakini yanakinzana na hata mila, utamaduni, umoja wetu kitaifa na hata imani yetu. Mengine ni aibu hata kuyasema maana ni laana kwa Taifa letu. Viongozi kwa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tatizo na sababu ya yote haya ni uchaguzi na nafasi za uongozi wa kisiasa tu hakuna kingine

    nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini. Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Chama chetu vyama vyetu vya msingi na lazima ni Tanzania, Utu na Ubinadamu, CCM haiwakilishi Tanzania kwa ujumla wake , CCM ni mchepuo hiari kisiasa

    Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu. Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda. Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Njia ile ni nyembamba...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Utekaji wa kisiasa utaisha pindi wanasiasa kuacha kutukanana kushililisha viongozi wa kitaifa

    Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki. Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna Ukija kutukana jua utajificha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania NIMELIA LIPOSIKIA HILI

    Iko hivi Kuna video moja ipo katika mtandao ambayo inazungumzia mtu mmoja aliekuwa na madaraka katika nchi 1 iliopo Mbali dunia inayoitwa - JAMAINA Kiongozi huyo alikuwa nafasi ya uwaziri ya kusimamia watu kazi ambao waliopo kwenye adhabu Siku 1 vijana walipewa kazi ya kulima shambani kama ni...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  13. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza ni watumwa wa kisiasa

    Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

    umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema? Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Je, vyombo vya usalama vinatumika vibaya (njama) kumharibia kisiasa mama ?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari. Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho.. haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinawafanya vijana wasishiriki masuala ya kisiasa

    Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili kwenu tupate majibu sahihi Kuna wimbi kubwa la vijana ambao hawajihusishi kabisa na masuala ya siasa unahisi sababu ni zipi na Nini kifanyike?
Back
Top Bottom